Tatizo ukimwambia unataka awe mke hataki tena anakimbia..Tatizo lako unawala ndio unawatangazia ndoa. Sasa cha kufanya wewe muoe kumkwichy mpk ndoa ipite.
Sema wewe mwingi wa habari![]()
Tatizo ukimwambia unataka awe mke hataki tena anakimbia..
Yani ni zigizaga, sijui nakosea wapi
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app

Kaa chini ujitafakari itakuwa kuna mahali unakosea na hao wanawake wankuwa n wew Kwa ajili unawap pesa lkn likj swal la ndoa hawataki itakuwa kun mhli unkoseaNdugu zangu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ na nina uchumi wa kati tuu , ila mapenzi yamekua sehemu ya kunitesa sana katika maisha yangu sijui nifanyaje yani yananitesa kweli kweli
1: Nina wanawake wakula nao starehe ila kila nikimaliza kulala nao nafsi inaniuma sana na kunihukumu vibaya mno
2: Natafuta mwanamke wa kuoa ila kila ninae mpenda nakutaka awe mke wangu anakataa sijui shida ilo wapi
3: Nikisema niachane na mapenzi moyo ndiyo unauma zaidi na kuwa mpweke sana
Naombeni msaada ndugu zangu, mimi mapenzi yananitesa sana. Nifanyaje niache kuteseka hivi ndugu zangu
Sawa sawaAcha kuchukua machangu bro
Kaoe kijijini kwenu
Nime tafakari sana nashindwa kuelewa wapi na kosea ndugu yanguKaa chini ujitafakari itakuwa kuna mahali unakosea na hao wanawake wankuwa n wew Kwa ajili unawap pesa lkn likj swal la ndoa hawataki itakuwa kun mhli unkosea
Ila Humu kuna watu wanamajibu jaman khaa😂😂🙌🙌ongea na dp waje wawekeze
Inaonekana hauna malengo binafsi katika maisha. You are weak. Grow up be like alpha male. Unasumbuliwa na utoto in your early 30'sNdugu zangu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ na nina uchumi wa kati tuu , ila mapenzi yamekua sehemu ya kunitesa sana katika maisha yangu sijui nifanyaje yani yananitesa kweli kweli
1: Nina wanawake wakula nao starehe ila kila nikimaliza kulala nao nafsi inaniuma sana na kunihukumu vibaya mno
2: Natafuta mwanamke wa kuoa ila kila ninae mpenda nakutaka awe mke wangu anakataa sijui shida ilo wapi
3: Nikisema niachane na mapenzi moyo ndiyo unauma zaidi na kuwa mpweke sana
Naombeni msaada ndugu zangu, mimi mapenzi yananitesa sana. Nifanyaje niache kuteseka hivi ndugu zangu
Duuh pole ipo siku utampata wa kumuoa labda wakati wa mungu bado haujafika ukifika utampata tuNime tafakari sana nashindwa kuelewa wapi na kosea ndugu yangu
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Aachane na ndoa na mapenzi yenyewe kwani kila mtu kaoa duniani humu?Jipe mda kwanza wa kuwa peke yako..jiulize shida inaanzia wapi???kwanini wakatae wote???na ukiweza waulize y hawataki lzm kun sababu
KomaaNdugu zangu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ na nina uchumi wa kati tuu , ila mapenzi yamekua sehemu ya kunitesa sana katika maisha yangu sijui nifanyaje yani yananitesa kweli kweli
1: Nina wanawake wakula nao starehe ila kila nikimaliza kulala nao nafsi inaniuma sana na kunihukumu vibaya mno
2: Natafuta mwanamke wa kuoa ila kila ninae mpenda nakutaka awe mke wangu anakataa sijui shida ilo wapi
3: Nikisema niachane na mapenzi moyo ndiyo unauma zaidi na kuwa mpweke sana
Naombeni msaada ndugu zangu, mimi mapenzi yananitesa sana. Nifanyaje niache kuteseka hivi ndugu zangu
Nimestuka na Mimi😅😅😅Dada Unique Flower umejuaje kama huyu jamaa malaya😂😂
AsanteDuuh pole ipo siku utampata wa kumuoa labda wakati wa mungu bado haujafika ukifika utampata tu