Mapenzi yananitesa sana

Mapenzi yananitesa sana

Unateswa na mapenzi lakin bado ushauri unautaka kwa wanaoteswa na mapenzi vilevile akh hii dunia hii bas tu 😀😀
Anywayz achana na kitu mapenzi najua utakuwa sawa usiyaendekeze
 
Hayanitesi, kama wewe ni ke na nayakutesa basi ni huna emotional intelligence ama lah sura mbovu na umbo baya. Pole sana
Wewe ni shapeless shingo kama ya kakakuona , vimiguu kaka vya ndege , umekomaa kama chuma za bendera ya taifa,unakijitambi cha minyoo , meno yako yamegawanyika kama mahindi choma
 
Piga chini malaya wooote. Kaa tuliza akili, mpenzi hatafutwi anatokeaga tu mwenyewe na mnajikuta mmekuwa wapenzi. Tuliza akili
 
Vizuri kila mtu anamtazamo wake bossy
Ili uwe sio mtu wa mapenzi inabid uwe annointed tokea tumboni tofauti na hapo una-uhaba wa nguvu za kiume/kike

Tofauti na hapo utajifariji huitaji mapenzi lakin deep inside unaumia sana

Mapenzi mazuri na matamu ukimpata mnaendana na changamoto lazima ziwepo sababu hakuna mkamilifu
 
Post kwnza sura yako tuone tatzo lipo wapi
FB_IMG_16906171762227106.jpg

Rich Kid JJ.
Taarifa toka kituo Cha Kati.
 
Wewe ni shapeless shingo kama ya kakakuona , vimiguu kaka vya ndege , umekomaa kama chuma za bendera ya taifa,unakijitambi cha minyoo , meno yako yamegawanyika kama mahindi choma
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wewe dada ni chizi kudadeki nimecheka kinoma.
 
Ndugu zangu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ na nina uchumi wa kati tuu , ila mapenzi yamekua sehemu ya kunitesa sana katika maisha yangu sijui nifanyaje yani yananitesa kweli kweli

1: Nina wanawake wakula nao starehe ila kila nikimaliza kulala nao nafsi inaniuma sana na kunihukumu vibaya mno

2: Natafuta mwanamke wa kuoa ila kila ninae mpenda nakutaka awe mke wangu anakataa sijui shida ilo wapi

3: Nikisema niachane na mapenzi moyo ndiyo unauma zaidi na kuwa mpweke sana

Naombeni msaada ndugu zangu, mimi mapenzi yananitesa sana. Nifanyaje niache kuteseka hivi ndugu zangu
We jamaa uko kama mimi, except namba 2 hiyo mimi ndio sina kabisa.

Yaani ni shida.
 
Back
Top Bottom