Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,510
- 8,006
ukija kushtuka miaka 50 hii huna mke huna mtoto unaanza kutusumbua tena
Mimi siyo malaya Ilanipo nao siku ziende Unique FlowerMalaya hawaoi na wakioa ndoa uvunjika
Basi sawa 😌Maneno yake tu alivyojielezea ndio utajua si mwema ni kaa mbali na watoto
Tatizo nikiacha moyo nao unauma na ninakua mpweke sanaSasa kama ukimaliza kulala nao nafsi inakuuma, kwanini uendelee na mapenzi? Wewe yaache tu
Ninaharaka tu nikikukuta later nitakufafanulia ujue kwanini nasema hivyooMimi siyo malaya Ilanipo nao siku ziende Unique Flower
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Bichwa kama feni ya muhindi wewe mapenzi hayakutesiKijana wa miaka 30+ kwenye 1 & 2.
Niambie hapa wapi nakosea Unique FlowerNinaharaka tu nikikukuta later nitakufafanulia ujue kwanini nasema hivyoo
Ebu unganisheni nguvuIla wewe jamaa,, pole lakini
Aisee 😃😃😃🤣🤣🤣🤣🙌,, sitakiEbu unganisheni nguvu
Utakuwa unamuuzia au?Haya njoo huku nikutulize as long as hela zitaendelea kuwapo. Zikiisha nakuhama, mwehu wewe
Kwa nini, warembo wazuri kama wewe hawatakiwi kukataa fursa 😀 😀Aisee 😃😃😃🤣🤣🤣🤣🙌,, sitaki
Sawa mkuuImarisha mienendo yako kama mwanaume anayetaka mke, kimuonekano, mavazi, kimaongezi n.k
Sawa mkuuMjomba kinachokutesa rohoni niuchoyo ukichapa nyapu ukiombwa posho liroho linakusimama sasa ukioa siutakufa na stress zakodi yameza chamsingi endelea kuwa mzee wamapigo namwendo usijeacha kuwa nao hawa waweza fanyaaamuzi yaajabu
Sawa mkuuUsihangaike kutafta mtu sahihi,anza mwenyewe kuwa mtu sahihi