Mapenzi yananitesa sana

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Ndugu zangu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ na nina uchumi wa kati tuu , ila mapenzi yamekua sehemu ya kunitesa sana katika maisha yangu sijui nifanyaje yani yananitesa kweli kweli

1: Nina wanawake wakula nao starehe ila kila nikimaliza kulala nao nafsi inaniuma sana na kunihukumu vibaya mno

2: Natafuta mwanamke wa kuoa ila kila ninae mpenda nakutaka awe mke wangu anakataa sijui shida ilo wapi

3: Nikisema niachane na mapenzi moyo ndiyo unauma zaidi na kuwa mpweke sana

Naombeni msaada ndugu zangu, mimi mapenzi yananitesa sana. Nifanyaje niache kuteseka hivi ndugu zangu
 
Shida inaanzia pale unapoona hela zako zitakufanya ulale na mwanamke yoyote unayemtaka kwasababu pesa unazo.
 
Back
Top Bottom