Mapenzi yananitesa sana

Mapenzi yananitesa sana

Yule alikua anasumbuliwa kichwa ushamuacha au?
Mi mkongwe ujue?
Kuna uzi uliweka huku siku nyingi kumuombea mkeo msaada.
Elewa sina mke. Sometime ukiwa chizi wa mapenzi unaweza muita demu wako mke au mama.. alafu mwisho wa siku anakukimbia pindi anapo kamilisha mission yake
 
Elewa sina mke. Sometime ukiwa chizi wa mapenzi unaweza muita demu wako mke au mama.. alafu mwisho wa siku anakukimbia pindi anapo kamilisha mission yake
Si tunajua una mke.
Hayo ya uchizi mpaka Mirembe watuhakikishie😬
 
Ndugu zangu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ na nina uchumi wa kati tuu , ila mapenzi yamekua sehemu ya kunitesa sana katika maisha yangu sijui nifanyaje yani yananitesa kweli kweli

1: Nina wanawake wakula nao starehe ila kila nikimaliza kulala nao nafsi inaniuma sana na kunihukumu vibaya mno

2: Natafuta mwanamke wa kuoa ila kila ninae mpenda nakutaka awe mke wangu anakataa sijui shida ilo wapi

3: Nikisema niachane na mapenzi moyo ndiyo unauma zaidi na kuwa mpweke sana

Naombeni msaada ndugu zangu, mimi mapenzi yananitesa sana. Nifanyaje niache kuteseka hivi ndugu zangu
Njoo nikuuzie "Vumbi la Zaire" umalize tatizo lako
 
Back
Top Bottom