Kwamba afumue tu ausio????!
Ndiyo, sisi tufaidi miili yenu, na nyie mnfaidi pesa zetu...Kwamba afumue tu ausio????!
ndiyo ukubwa huo.Nimekuwa ni mtu wa kutamani wadada wazuri wa hapa duniani.
Ikitokea nimekutana na mdada mzuri mwenye vitu vyangu na kumuelewa, nitatumia kila njia niwe naye.
Mbaya zaidi si kutoka naye mara moja, bali kutamani kabisa kuweka kambi naye.
Hii imenipelekea wao kutamani vitu vizuri, na kunipelekea mimi kuingia gharama.
Natamani niachane nao, lakini moyo unakataa kabisa kwa sababu umependa.
Kwa hiyo wakuu, wakinifilisi mpaka hela ya bando nitawaomba mnichangie.
🤣🤣🤣Leo ijumaa, inabidi jioni tujipoteze kwa muda wa siku tatu, unakaa ndani tu hakuna kutoka nje
Hoja yako isikilizwe
Rudisha kale ka-avatar,ndio pigo zangu zileKwamba afumue tu ausio????!
Kuja kurithi makoloni yangu si ndio?Hata ukijinyonga tutakuja kwenye msiba wako
Mimi na dedicated wimbo wa KOMAA NAO_EAST COAST TEAMNimekuwa ni mtu wa kutamani wadada wazuri wa hapa duniani.
Ikitokea nimekutana na mdada mzuri mwenye vitu vyangu na kumuelewa, nitatumia kila njia niwe naye.
Mbaya zaidi si kutoka naye mara moja, bali kutamani kabisa kuweka kambi naye.
Hii imenipelekea wao kutamani vitu vizuri, na kunipelekea mimi kuingia gharama.
Natamani niachane nao, lakini moyo unakataa kabisa kwa sababu umependa.
Kwa hiyo wakuu, wakinifilisi mpaka hela ya bando nitawaomba mnichangie.
Gharama kubwa sana, mara matumizi ya kula, saluni, kodi ya nyumbaMuumbe mmoja mwenye sifa zote unazotaka na uanze kuishi naye
Bwana Elon Musk anayauza hayo majitu ya kuunda kwa shilingi milioni 6.5 tu za Tanzania
Anyway, jitahidi uoe Mkuu. Maisha ya sasa ni gharama mno kuwa na wapenzi wengi
Unanishauri nifanye nini?ndiyo ukubwa huo.
Ushauri naupokea kwa mikono miwiliUsijali mwanangu hiyo ni hali ya kawaida wwe wapelekee moto . Kikubwa linda afya tu ili siku moto ukizima wasikuache ukiwa na magonjwa. Ukifilisika ukiwa na afya akili ya kutafuta pesa nyingine utakuwa nayo. Lakini baada ya hapo utakuja kuwa tajiri maana utakuwa ya duniani umesha ya maliza kwahiyo utafocus na mambo ya kusaka pesa tu. Kila laheri katika issue za kusaka pisi kali
Kama ndio huyo, sikutongozi tena
Sawa dj ongeza sauti hapo studioMimi na dedicated wimbo wa KOMAA NAO_EAST COAST TEAM
Usindikize huu uziii 😁
Ndomwenyewe huyo! Nitongozwe ili nigundue nini miyee!!!???Kama ndio huyo, sikutongozi tena
😄😄 Kufa kufaana😄😄😄Kuja kurithi makoloni yangu si ndio?