Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,470
- 4,553
Una kaupunguone kichwani ujue 🤣Nimekuwa ni mtu wa kutamani wadada wazuri wa hapa duniani.
Ikitokea nimekutana na mdada mzuri mwenye vitu vyangu na kumuelewa, nitatumia kila njia niwe naye.
Mbaya zaidi si kutoka naye mara moja, bali kutamani kabisa kuweka kambi naye.
Hii imenipelekea wao kutamani vitu vizuri, na kunipelekea mimi kuingia gharama.
Natamani niachane nao, lakini moyo unakataa kabisa kwa sababu umependa.
Kwa hiyo wakuu, wakinifilisi mpaka hela ya bando nitawaomba mnichangie.
Hawa wanawake wa mkorogo siku hizi , kucha bandia nywele bandia wavaa vimini na gauni tight
Ili uone maungo yao ya ukahaba wakiwa wanajiuza live
Aaaah bhana siyo tu umefirisika mali yaani akili yako washaifirisi 🤣🤣🤣🤪🤪