Mapenzi yananifilisi

Mapenzi yananifilisi

Poleee
Nimekuwa ni mtu wa kutamani wadada wazuri wa hapa duniani.

Ikitokea nimekutana na mdada mzuri mwenye vitu vyangu na kumuelewa, nitatumia kila njia niwe naye.

Mbaya zaidi si kutoka naye mara moja, bali kutamani kabisa kuweka kambi naye.

Hii imenipelekea wao kutamani vitu vizuri, na kunipelekea mimi kuingia gharama.

Natamani niachane nao, lakini moyo unakataa kabisa kwa sababu umependa.

Kwa hiyo wakuu, wakinifilisi mpaka hela ya bando nitawaomba mnichangie.​
 
Back
Top Bottom