Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,201
- 64,277
- Thread starter
- #41
Asante mkuu, nipe ushauriPoleee
Asante mkuu, nipe ushauriPoleee
Yenyewe ndio yanayonipa furaha, ila yananifilisiFanya yanayokupa furaha...
Niokoe...Najulia wapi mimi 😆
Siwezi kuingia mtego wa kumshauri mtu aliye penziniNifanyeje ili nisiangukie huko?
Utakuwa hunitakii mema mkuu, zaidi ya kutamani warembo wanguKamba njia ndefu mkuu 😂Wakati mimi nakuuzia Sumu kwa bei ya Kitanzania kabisa 😃Hiyo ukiramba hata Unywe maziwa na Ngamia unaondoka🤣🤣
Ukifa hautazikwa na pesa bro... Muhimu usiuze nguo zako wala kumaliza pesa ya chakula...Yenyewe ndio yanayonipa furaha, ila yananifilisi
Kwa nini?Siwezi kuingia mtego wa kumshauri mtu aliye penzini
Inabidi uwe mbunifu kuwa mudu maana, Sio wakati wote wanahitaji pesa😃Utakuwa hunitakii mema mkuu, zaidi ya kutamani warembo wangu
Wapenzi hawashaurikiKwa nini?
Wanakula hela sio mchezo, utafikiri broila wanavyokula pumba, hela kwao imekuwa kama grisi ya kulainisha mahusiano.Inabidi uwe mbunifu kuwa mudu maana, Sio wakati wote wanahitaji pesa😃
Sasa hao wako ni Wanyang'anyi mkuu😄Ikiwezekana🏃♂️Ila makebo haya 🙌Wanakula hela sio mchezo, utafikiri broila wanavyokula pumba, hela kwao imekuwa kama grisi ya kulainisha mahusiano.
Hadi raha.....😁Nikihesabu nyuzi zinazongumzia wanawake kwa siku moja alooo 🤣🤣🙌🏼
Evelyn Salt bro huku tena
Uko wapi?Nimekuwa ni mtu wa kutamani wadada wazuri wa hapa duniani.
Ikitokea nimekutana na mdada mzuri mwenye vitu vyangu na kumuelewa, nitatumia kila njia niwe naye.
Mbaya zaidi si kutoka naye mara moja, bali kutamani kabisa kuweka kambi naye.
Hii imenipelekea wao kutamani vitu vizuri, na kunipelekea mimi kuingia gharama.
Natamani niachane nao, lakini moyo unakataa kabisa kwa sababu umependa.
Kwa hiyo wakuu, wakinifilisi mpaka hela ya bando nitawaomba mnichangie.
🤣🤣Hadi raha.....😁
😹😹😹ngoja sisi tukuchune umekaa mkao wa kuchunwaInawezekana nyie hamjaumbwa kwa mfano wa Mungu
Kwa umbo lako hilo, acha tu niendelee kufilisika.Uko wapi?
Leo ijumaa, inabidi jioni tujipoteze kwa muda wa siku tatu, unakaa ndani tu hakuna kutoka nje😹😹😹ngoja sisi tukuchune umekaa mkao wa kuchunwa
Makebo au sioKwa umbo lako hilo, acha tu niendelee kufilisika.
Ebu liweke hapa wanajf wakuonee wivuMakebo au sio