min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,987
- 166,217
Utapel shindii 😅Shindii unatusingizia tabia zenu. Sisi ni waaminifu sanaaa. Tukiachwa, tunalia hadi kamasi. Hapo hadi uje uwe na mtu mwingine ni baada ya miaka minne🤣🤣
Utapel shindii 😅Shindii unatusingizia tabia zenu. Sisi ni waaminifu sanaaa. Tukiachwa, tunalia hadi kamasi. Hapo hadi uje uwe na mtu mwingine ni baada ya miaka minne🤣🤣
Hapanaaa! Msiturithishe tabia zenu mbaya.Utapel shindii 😅
Alijiongeza angechachia homeMambo ni Mengi sana Mkuu muda ndo mchache, Mtu mmelala nae week ilio pita keo unaskia kaolewa
Nilitaka kushanga😎🏃🏃Kabisa, ila mimi kuwa na watu wawili kuzimudu hizo stress siwezi kabisa
Alijiongeza angechachia home
HakikaNakuelewa Time clock ya mwanamke imekaa vibaya sana, Usipo fanya maamuzi lazima upange foleni kwa mwamposa.
Niulizie kwa mtoa mada Wale tunaoachana nakurudiana tunaachana inaitwaje hiii????
Hayanaga miongozo... Utamu kolea...Niulizie kwa mtoa mada Wale tunaoachana nakurudiana tunaachana inaitwaje hiii????
Nimekaa paleeeeeeeeeeee.....!Hayanaga miongozo... Utamu kolea...