Kama nimekuelewa hiviiUkweli usiopingika, mwanamke anapenda yoyote yule atayeweza kumkojoza nakumuhudumia mahitaji yake. Hayo mengine nimbwembwe2
Kama nimekuelewa hiviiUkweli usiopingika, mwanamke anapenda yoyote yule atayeweza kumkojoza nakumuhudumia mahitaji yake. Hayo mengine nimbwembwe2
njoo pm nitakupa mi sijuagi kuanza pm chartNipe basi namba yako pm
Umeonge vzur..kama sina uhakika naww nisile tuu pesa zakowalewaleeeee mapenzi biashara.
Ila hili tatizo nahisi ni sisi wanaume ndio tumechangia kwa kiasi kikubwa, mambo ya kuchapa na kusepa ndio yamepelekea dada zetu nao kuamua kutuuzia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Siku hz moyo wa mwanamke ni kama nyumba ya kupanga, usipolipia huwezi kukaa" alisikika mlevi mmoja
[emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210]
Mimi ndo nataka nianze huo mchezo sasa, maana umama teresa wangu unanicost.
Huyo rafiki yako hajitambuiNa hii imekaaje mwanaume ukishamsaidia mpenzi wako hela...mkikosana kidogo unamdai tena kwa fujo...
Hii imetokea leo kwa rafiki yangu yani nimejisikia vibaya sana
Samahani kwa kutoka nje ya mada
Hutujui wanawake wewe unaweza kukojoza na kuhudumia mahitaji yote na bado usipendweUkweli usiopingika, mwanamke anapenda yoyote yule atayeweza kumkojoza nakumuhudumia mahitaji yake. Hayo mengine nimbwembwe2
umemaliza kila kitu asanteBinafsi sijawahi kumwomba mwanaume ambae Nishawahi kuwa nae kwenye mahusiano nae kitu chochote iwe pesa au kitu kingine kutoka kwake. Nasubiri apende yeye anipe na asiponipa siwezi kumind, tho napendaga nipewe zawadi coz na Mimi natoaga sana tu. Nikiwa nashida nitamuomba rafiki namaliza shida yangu.
Pili kuna wanaume ambao wanajiongeza hata kabla hujamuomba anakupa. huyu huna haja ya kumwomba.
Tatu, Mara nyingi sana sisi wanawake, ukiona mwanamke kakuomba kitu hasa hela trust me hajakupenda yupo hapo kwa lengo Fulani.mwanamke akikupenda kutoka moyoni anakuonea huruma, hata wewe ukiwa na shida yupo tiyari kukukopea ili akusaidie.
Haiwezekani eti mtu hakuchangamkii, gafla akuombe kitu ukimpa ndio akuchangamkie, hapo hakuna mapenzi, anakuomba kitu, ukimnyima akutafutie sababu ya kukuacha.
Kabisa kabisaHutujui wanawake wewe unaweza kukojoza na kuhudumia mahitaji yote na bado usipendwe
umeongea ukweli mtupuBinafsi sijawahi kumwomba mwanaume ambae Nishawahi kuwa nae kwenye mahusiano nae kitu chochote iwe pesa au kitu kingine kutoka kwake. Nasubiri apende yeye anipe na asiponipa siwezi kumind, tho napendaga nipewe zawadi coz na Mimi natoaga sana tu. Nikiwa nashida nitamuomba rafiki namaliza shida yangu.
Pili kuna wanaume ambao wanajiongeza hata kabla hujamuomba anakupa. huyu huna haja ya kumwomba.
Tatu, Mara nyingi sana sisi wanawake, ukiona mwanamke kakuomba kitu hasa hela trust me hajakupenda yupo hapo kwa lengo Fulani.mwanamke akikupenda kutoka moyoni anakuonea huruma, hata wewe ukiwa na shida yupo tiyari kukukopea ili akusaidie.
Haiwezekani eti mtu hakuchangamkii, gafla akuombe kitu ukimpa ndio akuchangamkie, hapo hakuna mapenzi, anakuomba kitu, ukimnyima akutafutie sababu ya kukuacha.
Sasa nyie mnapenda nini? au mnapenda kila kitu katika hii duniaHutujui wanawake wewe unaweza kukojoza na kuhudumia mahitaji yote na bado usipendwe
Utajisumbua bure mzee mwenzangu, sumni yako nitakula na bado nitabaki wa baridi kama maji ya mtungini!Wacha weeh, ngoja nikutumie sumni kidogo ya ugoro nione kama utanichangamkia.
Mbona umefunga pmnjoo pm nitakupa mi sijuagi kuanza pm chart