Mapenzi ya siku hizi michosho tuu

Mapenzi ya siku hizi michosho tuu

Haha wewe ni cold sana
Mnoo jamani. Nilishawahi kuchezewa mchezo na mtu eti niende nikamchukulie mzigo wake Moro. Ye alikua ananitaka mi nikamchukulia rafiki tu nikajua kanielewa. Nafika Moro namwambia anipe contact za mtu wa kuonana nae ananiambia ooh kuna tax panda mwambie akulete sehemu fulani. Nafika nalikuta lenyewe. Muda wa kulala akaniambia ananipeleka hoteli kwangu. Kufika nakuta na nguo zake. Eti tulale wote hatufanyi kitu. Mi najiamini asingefanya kitu labda anibake. Alinisumbua usiku kucha ila ambavyo nilikua sina hisia nae nilimkazia na kumsukuma juu.
 
Duuh hakuna kitu inauma ulale na mwanamke alafu agome kutoa K yaani huo uliofanya ni unyama aisee. Usiku kucha dushe limekaza hadi mishipa inauma
 
Mnoo jamani. Nilishawahi kuchezewa mchezo na mtu eti niende nikamchukulie mzigo wake Moro. Ye alikua ananitaka mi nikamchukulia rafiki tu nikajua kanielewa. Nafika Moro namwambia anipe contact za mtu wa kuonana nae ananiambia ooh kuna tax panda mwambie akulete sehemu fulani. Nafika nalikuta lenyewe. Muda wa kulala akaniambia ananipeleka hoteli kwangu. Kufika nakuta na nguo zake. Eti tulale wote hatufanyi kitu. Mi najiamini asingefanya kitu labda anibake. Alinisumbua usiku kucha ila ambavyo nilikua sina hisia nae nilimkazia na kumsukuma juu.
Jizasi krasti!!!
 
Mkuu....
Baada ya kumaliza kusoma hiyo habari ya morogoro....
Naomba niiangalie avatar yako if possible please...
 
Ukikaa kimya na yeye anakaa kimya.usisubiri kua unapigishwa stori.
 
Back
Top Bottom