Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,029
- 52,506
Anacheki next destination
Kama ndo hivyo watalalamika sana mbona!
Kwa malalamiko ya kipuuzi hivu..... mnawatia vilema hao kaka zenu huko Dar, na sijui hata familia zao wanawezajeku solve mambo ya ndani wallahKetuti pole
Lakini wewe muda huo unakuwa unafanya nini kwani?
Minawaza tu hapa nikipata mdada na nikamsalimia kisha akaitikia baasssss.......Tena wanachokilalamikia chenyewe hakina kichwa wala miguu....
Sasa kama humwongeleshi atafanya nini zaidi ya kuchat? Mdada akae na Ushimen hapa halafu aanze kuchat? Atapata wapi nafasi hiyo
Vijana punguzeni malalamiko,ongezeni ubunifu

Subhanallah......![]()
Usishangae ndio walivyo kulalamika wanawaiga Dada zao![]()

Minawaza tu hapa nikipata mdada na nikamsalimia kisha akaitikia baasssss.......![]()
![]()
Huko kuitikia tu salam yangu, tayari nitakua nishamaliza kazi wallah....![]()
![]()
mwonekano wako tu unasadifu maneno yako!

wanaume mnataka nn lakini?mara wanakula kidogo wanatia hasara,mara hawali,mara wanaomba hela,iv mnataka nini?Nishazeeka mkuu...![]()
![]()
![]()
mwonekano wako tu unasadifu maneno yako!
![]()
![]()
![]()

Unaacha kwenda kula mzigo unamuacha anachati tu alafu unakuja kulalamika huku

Inasikitisha sana haki
Huyu ban inamuhusu kwa 100% ili ikuwe fundisho kwa wengine kama yeyeUnaacha kwenda kula mzigo unamuacha anachati tu alafu unakuja kulalamika huku
Kwani ametoka kwao kuja kuchati
Alokwambia mapenzi ni kulana ndimi ni nani? Mapenzi ni kupeana vile msivyonavyo. Wewe umpe asokuwanacho naye akupe usonacho!Nishazeeka mkuu...
Haya mapengo hakuna wa kunikula ndimi tena wallah....![]()
![]()
![]()

Apigwe tu ban apumzike. Umemsafirisha toka mkoani alafu amekaa anachati tu na jamaa anamuangali alafu anakuja kulialia hukuHuyu ban inamuhusu kwa 100% ili ikuwe fundisho kwa wengine kama yeye
Kwamara ya kwanza leo nimependeka mubashara humu jf wallah....Alokwambia mapenzi ni kulana ndimi ni nani? Mapenzi ni kupeana vile msivyonavyo. Wewe umpe asokuwanacho naye akupe usonacho!
Bila shaka mapengo yako hayajaathiri ulichonacho![]()
![]()
![]()
![]()

Sasa asile??![]()
wanaume mnataka nn lakini?mara wanakula kidogo wanatia hasara,mara hawali,mara wanaomba hela,iv mnataka nini?