Mapenzi ya siku hizi michosho tuu

Mapenzi ya siku hizi michosho tuu

Apigwe tu ban apumzike. Umemsafirisha toka mkoani alafu amekaa anachati tu na jamaa anamuangali alafu anakuja kulialia huku
tehteehh......[emoji12] [emoji12]
Naunga mkono hoja
 
Kwan baada ya huo mtoko naww si unaenda kumla?..unatokaje na demu halaf mwisho wa siku unarumdisha anapokaa nenda nae kwako au gesti...acha kuzubaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] embu niondoke zangu mie maana naona nje radi zimeanza
Basi sawa mkuu....
Ngoja nami nikaze hapa, maana nimeingia lindoni zam ya usiku
 
Unakuta unatoka na demu out, tena abda umemsafirisha toka mkoa mwingine. mkifika sehemu labda pub yaani kazi yake ni kula na kunywa na fuuul kuchati, hata cjui anakuwa anachati na nani[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] hakuna hata maongezi, mxewuuuuuu!!!

Unaishia kuchunwa tuu hata story hamna, inaboa saana.
Kumbe ushajua unachunwa unalalamika nini sasa?
 
Mmh si wangezungumza kwenye simu, lakini kaja kwa nia moja tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] .. you know now[emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yeye alitaka wapige story sijui waongee hakuwa na mawazo kama yako[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
hpa duniani penda mungu,wazazi,na watatu n pesa ,inawezakana unalalamika kumbe kwake uliingia na gia kubwa kuonekana unazo mjini hpa tuliza akili
 
tehteehh....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ebu ngoja niendelee kuwafuatilia hadi nielewe hii lugha wallah...[emoji39] [emoji39] [emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani hujaelewa mkuu?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yeye alitaka wapige story sijui waongee hakuwa na mawazo kama yako[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Haya we mtetee tu, au ni wewe nini unayezungumziwa hapa? Kweli utoke mkoani uje kupiga story tu
 
Back
Top Bottom