Mapenzi ya siku hizi michosho tuu

Mapenzi ya siku hizi michosho tuu

Unakuta unatoka na demu out, tena abda umemsafirisha toka mkoa mwingine. mkifika sehemu labda pub yaani kazi yake ni kula na kunywa na fuuul kuchati, hata cjui anakuwa anachati na nani hakuna hata maongezi, mxewuuuuuu!!!

Unaishia kuchunwa tuu hata story hamna, inaboa saana.
Kipindi cha ujana wangu hapakua na hizi simu wala magazeti ya udaku......
Enzi zile nilikua na mdada tukitoka anakula na kunywa, huku anasoma gazeti la Uhuru.
Na hata mkifika room wakati wa show yeye anakua anasoma tu makala za kwenye gazeti huko anazungusha nyonga...
Sasa mkuu ungekutana na wahivyo sindio ungekuja kulia kabisa.... .
 
Uwe unawapigisha story ,pengine anakusikiliza Wewe uliyemuita

Jamani sasa hapo mwanaume ana-benefit nn kwenye huo uhusiano, maana pesa ampe, ampe attention na muda, kitandani amridhishe, na story ampigishe huyo mdada ili kumu-entertain, mm naona kwa asilimia kubwa, mahusiano ya sahivi bora tu mtu ununue malaya wanaojiuza barabarani Minah24
 
Pole sana...

Ukiona hivyo ujue 'She is not into you'...

Yupo na wewe kwa ajili ya ahadi zako au kimaslai ndiyo maana anakufanyia hivyo...

Cc: mahondaw
 
Unakuta unatoka na demu out, tena abda umemsafirisha toka mkoa mwingine. mkifika sehemu labda pub yaani kazi yake ni kula na kunywa na fuuul kuchati, hata cjui anakuwa anachati na nani hakuna hata maongezi, mxewuuuuuu!!!

Unaishia kuchunwa tuu hata story hamna, inaboa saana.
ACHA KUPIGA STORY NA WADADA UNAELEKEA KUBAYA
 
Unakuta unatoka na demu out, tena abda umemsafirisha toka mkoa mwingine. mkifika sehemu labda pub yaani kazi yake ni kula na kunywa na fuuul kuchati, hata cjui anakuwa anachati na nani hakuna hata maongezi, mxewuuuuuu!!!

Unaishia kuchunwa tuu hata story hamna, inaboa saana.
pole sana...

wewe lazima utakuwa nwanaume wa dar... ina maana hata kumwambia umeshindwa??

Mimi nikiwa na dem mahali siruhusu huo ujinga, lazima nimkataze na aamue moja kuchatt na masimu yake au kuongea na mimi!
 
muda wote huo wa kula na kunywa si umempa wewe??
kwani ulimsafirisha aje pub?
 
Unakuta unatoka na demu out, tena abda umemsafirisha toka mkoa mwingine. mkifika sehemu labda pub yaani kazi yake ni kula na kunywa na fuuul kuchati, hata cjui anakuwa anachati na nani hakuna hata maongezi, mxewuuuuuu!!!

Unaishia kuchunwa tuu hata story hamna, inaboa saana.
Rafiki yangu hizo pesa zako uwe unakula.mwenuewe japo uongeze protini kwemye mwili wako.u awili tu basi. Una honga mademu za watu ndio maana huwa hawana habari na wewe anakuja tu ale basi.
 
Sikumpenda sasa. Kwanini nimfurahishe yeye mimi roho iumie.

ila wanawake mnatofautiana sana na sisi wanaume, mm hata kama simpendi mwanamke ila kuna circumstances ambazo zikinikuta lyk niko kitanda kimoja/nyumba/chumba kimoja na demu, hlf demu anantega kingono, mm nakula mzigo ivyo ivyo hlf baada ya hapo nambwaga demu maana kutoka nae out ntakuwa naona aibu coz simpendi, si shida yangu ya kukojoa ilishaisha, and this applies to most other men Mzigua90
 
Unakuta unatoka na demu out, tena abda umemsafirisha toka mkoa mwingine. mkifika sehemu labda pub yaani kazi yake ni kula na kunywa na fuuul kuchati, hata cjui anakuwa anachati na nani hakuna hata maongezi, mxewuuuuuu!!!

Unaishia kuchunwa tuu hata story hamna, inaboa saana.
Unashindwa kumchana?
 
Mimi wangu huwa ninamnyang'anya simu.
You are a real man. Mm wangu nampiga marufuku mapema. Tena namwambia tukiwa tunaongea halaf anachat nitupa hiyo sim kwenye maji maana nimemnunulia mwenyewe na ninaweza kumnunulia nyingine akijirekebisha. Pumbav
 
Yaani mtoa mada unajiaibisha kabisa.

Kweli umeshindwa kumpigisha story?
Tena umemtoa mbali na story ndivyo zinavyonoga zaidi.
 
Back
Top Bottom