Mapenzi ya siku hizi michosho tuu

Mapenzi ya siku hizi michosho tuu

Huo ndio maosi wa maana mkuu, ebu achana na hizo chips za Dar ukujage huku Ushirombo ukule mifudi ya maana...[emoji39] [emoji39]
Hahaa ushirombo uniandalie na maziwa ya mgando,mna ng'ombe sana,ndo natoka hapa Lunzewe nakuja
 
Hahaa ushirombo uniandalie na maziwa ya mgando,mna ng'ombe sana,ndo natoka hapa Lunzewe nakuja
Ewwaaaaahhhhh........
Ngoja nijisogeze hapo Buhuntubili nikupokee kabla hawaja kufisadi wallah...[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Kumrudia Mungu ni jambo moja....je, kupiga porojo na wapita njia huku ukiacha lindo, umeacha pia?
tehteehh......[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Umesahau kuuliza na....[emoji481] [emoji481]
 
Hahahahahaha
Sasa kama kazi iliyonileta haijafanyika itabidi tu tupige story maana ndo anazotaka[emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkumbushe inawezekana anashangaa uzuri wako haamini kama umemletea kitumbua manyoya
 
b9bea7be6613cfbeb2b8cee359c3b799.jpg
9f1c9fdbb8d6a0abda8644abe52db75d.jpg
cc61d64f23df50caef12168249bf870f.jpg
Usishangae ndio walivyo kulalamika wanawaiga Dada zao
Hao ni wanaume au tomboys?
 
tehteehh......[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Umesahau kuuliza na....[emoji481] [emoji481]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe hujaacha tu haya mambo? Jiandae kurudi milembe day soon
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkumbushe inawezekana anashangaa uzuri wako haamini kama umemletea kitumbua manyoya
Chizi wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
 
Hahahahahaha
Sasa kama kazi iliyonileta haijafanyika itabidi tu tupige story maana ndo anazotaka[emoji125]
Dahhhhh........
Yaani hadi unafikia kulalamika na wewe, basi huyo mwanaume hana tofauti na dadazake wallah......
 
Back
Top Bottom