Mapenzi ya shule: Nilipata mtoto nikiwa Sekondari

Aisee mwamba alikua anakupenda kweli. Ni vile tu na wewe ulikua unajielewa ndio maana mkadumu.

Girls wakishafunguliwa wanakua na kua wanapewa vizawadi huwa wanataka zaid na kujiona washakua na kua na mahusiano mengi mengi, lakini wewe ulitulia na R safi sana.
Mkuu kwa mujibu ya mtoa mada mpk mama mkwe Katoa saluti kuwa dogo anapenda na anajua majukumu yake.
 
Nimejikuta nalia eti daaa, kwa kua umeniuliza acha tu nikujibu.

Kifupi mpaka leo sijui alifariki kwa ugonjwa gani, baada ya mimi kurudi shule ndugu nasikia walienda kwa mganga, maana ziliibuka imani za kishirikina kwa upande wa wao. (Alinambia rafiki wa marehemu)

Mganga akawambiwa ametolewa kafara na mtu aliekuwa anapendana sana na marehemu. Ambaye alikuwa anashirikian kila kitu na marehemu kifupi
Mkuu hapa nakushauri kwa heshima ya R watafute wazazi wake na uwapelekee mjukuu wao. Angalau itakuwa umewafariji kwa njia hiyo.
 
Big up R ,rest in piece jemedari uliletwa duniani kwajili ya gladness mwendo umeumaliza salama wewe haupo ila bado tunakuona kupitia mwanao.
Vp lakini familia yake na mama yake unawatembelea na kumsaidia mama mkwe?
 
Back
Top Bottom