Mapenzi ya kweli yalikuwa haya mengine blah blah!

Mapenzi ya kweli yalikuwa haya mengine blah blah!

Jamani hata sasa mapenzi mazuri yako sio kusema yalikuwa zamani tu
hata sasa yapo ambayo mtu amwangalii mtu kwa kitu alichonacho bali
moyo ikuvutia kwake na akipenda kwa dhati wanajenga relationship yao
hivyo hata sasa yako kaka KakaKiiza sio zamani tu sema hujampata yule
ambaye anakupenda kwa dhati ambaye aangal;ii pochi wallet
 
Last edited by a moderator:
Kuna binti mmoja rafiki yangu, anajamaa yake ni CEO mahali flani, anasema huwa anatumia nguvu sana kumsifia jamaa hasa wawaapo 6 KWA 6, japo ni goi goi, jamaa anampa hela za hatari! Juzi juzi tu kamnunulia kiwanja...

Ananiambia jamaa ----- tu, hana lolote nampa sifa za bure coz najua nn ninachotaka!.. Anasema lengo likitimia tu, CEO imekula kwake
 
^^
Na ndio hawa hawa wanakuwa wakali leo, tena hawataki pesa,
Wanawake bhana, asiyewajua watamsumbua sana.
^^
 
Siku hizi mapenzi yamekuwa artificial sana ila zamani mtu anakupenda kuanzia wewe na familia japo mpo masikini walikuwa hawajali, ila kwasasa mtu anaangalia unanini kwanza!

Nothing for nothing
 
Wanawake bana wanashangaza sana tena sana

Wanawake wa hapa JF hawataki hela

Hawa hawa wa JF mtaani wanapenda sana hela

Nazungumzia ninachokijua ......!!!!!!!!!!
 
wa siku hizi husema wanakupenda wewe tu, hawajali ndugu zako....
kinachomata ni wewe...
 
Zamani pia ukiwa na hiyo phoenix si ilikuwa kama una verossa vile? Sasa kwa nini mtake kuwatwika wadada wa sasa mzigo kana kwamba kizazi chao ndo kimekuwa so material na cha zamani kilikuwa na true love? (As if ukimpenda mwenye nacho basi si mapenzi ya kweli)
 
Upendo wa dhati hakuna tena siku hizi, kila mtu anapenda kwa sababu fulani tu...

Vijana wengi wa kike wanachagya sana watu wa kuishi nao, vigezo vyao ni vingi sana, hasa wakiwa na umri mdogo (early twenties). Kimbembe kinakuja pale umri unapowatupa mkono, wanafall kwa yeyote, ili mradi kutimiza ndoto zao za kuolewa na kuachana na upweke. Vijana wengi wa kike wameweka maslahi binafsi mbele, yupo na mtu kwa sababu tu kuna kitu anapata, atimize malengo yake alafu atafute mwingine wa kuishi nae.

Baadhi ya vijana wa kiume nao hawataki tena kuoa wanawake tegemezi, hence wanaishia kutafuta wadada wenye vipato ili washirikiane katika maisha.

!Zamani wazee wetu hawakuwa na vigezo vingi, wengi hasa walioa mama wa nyumbani, baadhi yao walitafutiwa wachumba.! Maisha ya mapenzi yamebadilika sana miaka hii...
 
mapenzi ya siku hizi yana miujiza hii hapa
1620717_500721553370811_335209924_n.jpg

nimependa hii kitu yako yani mshahara wake ni N lakn matumizi ni Y..... chukua like bahat mbaya natumia simu
 
....mbona hiyo ni picha ya kizamani na sio mapenzi,au tafsiri ya mapenzi ni pozi...
 
Upendo wa dhati hakuna tena siku hizi, kila mtu anapenda kwa sababu fulani tu...

Vijana wengi wa kike wanachagya sana watu wa kuishi nao, vigezo vyao ni vingi sana, hasa wakiwa na umri mdogo (early twenties). Kimbembe kinakuja pale umri unapowatupa mkono, wanafall kwa yeyote, ili mradi kutimiza ndoto zao za kuolewa na kuachana na upweke. Vijana wengi wa kike wameweka maslahi binafsi mbele, yupo na mtu kwa sababu tu kuna kitu anapata, atimize malengo yake alafu atafute mwingine wa kuishi nae.

Baadhi ya vijana wa kiume nao hawataki tena kuoa wanawake tegemezi, hence wanaishia kutafuta wadada wenye vipato ili washirikiane katika maisha.

!Zamani wazee wetu hawakuwa na vigezo vingi, wengi hasa walioa mama wa nyumbani, baadhi yao walitafutiwa wachumba.! Maisha ya mapenzi yamebadilika sana miaka hii...
tusidanganyane hapa, kila mtu anapenda kwa sababu fulani, na si lazima sababu iwe pesa
 
^^
Umesema kweli Kaka,, ya siku yanaingia na themometa ya kupima wallet
More money More Love
^^

Kaka thermometer inapima joto tu wao wanakipimo kimaitwa "zimometer" yaani kinapima kama zimo kwenye waleti
 
nakumbuka brother wangu aliendaga kijijini akamshawishi bibi akampa hela...jamaa kurudi akanunua Delela(mountain biycle) enzi hizo ndo zimeingia...lazima malaki kadhaa yakutoke kuipata...basi hapo mtaani aliwavuruga mabinti vibaya..
 
tusidanganyane hapa, kila mtu anapenda kwa sababu fulani, na si lazimsababu iwe pesa
Kwani mimi nimesemaje? Kila mtu anapenda kwa sababu fulani, sijasema kuwa kila mwanamke anapenda pesa, nilichosema ni kuwa wengi wana sababu za kumpenda mtu waliye nae
 
Back
Top Bottom