Mapenzi ya kweli yalikuwa haya mengine blah blah!

Mapenzi ya kweli yalikuwa haya mengine blah blah!

Mi napenda mtu alivyo japo most of the are cowards..they dont see the worth of my love!!!

It's not that maybe you too are faking it. Most of us can tell when a woman fakes love na ndio maana tunaendelea kutafuta wa ukweli kila kukicha. It hurts kuwa na demu dizaini ya kituo cha mafuta.
 
Kuna wimbo wa miaka ya themanini. Chorus yake IPO hivi;

You gotta to have JOB if you wanna be with me. No romance without finance.
 
Zamani hakukuwa na options

Wazazi waliwachagulia watoto wao mtu sahihi.
 
Kuna wimbo wa miaka ya themanini. Chorus yake IPO hivi;

You gotta to have JOB if you wanna be with me. No romance without finance.

Tunapendana sawa,je tutakula huo upendo??
 
It's not that maybe you too are faking it. Most of us can tell when a woman fakes love na ndio maana tunaendelea kutafuta wa ukweli kila kukicha. It hurts kuwa na demu dizaini ya kituo cha mafuta.
I never fake anything...I will just say i havent been lucky when it comes to love!!
 
tatizo lenu mnakutana na mibazazi ya kike ya mjini ama mnataka wasomi wenzenu wanaojua kutumia kalkuleta zao vizuri mtaacha kukamuliwa?kaoeni vijijini huko watoto wazuri hawana hata gharama loh !

Mh muulize profesa jay zubeda alimfny nn pamoja na mumtoa kijijini
 
huna gari hupati mwanamke wa kukupenda kwa dhati asee
 
ingekuwa hivi wasukuma guta wasingekuwa na wapenzi hujawahi ona msichana kampenda mwanaume mwenye kipato kidoga rejea vicky wa prof j
 
Kwa Mungu kila kitu kinawezekana..

Mapenzi ya kweli yapo kabisa katika ulimwengu wetu wa sasa
 
uswahili unawaharibu wasichana na wanawake wengi.

wengi wao wanafundishana ujinga vibarazani na saluni za nywele.

kuna siku nilikuwa mgahawani napata chakula, basi lilikuja kundi la wasichana ambao walikuwa ni wenyeji wa mkoa wa arusha na kilimanjaro (almost wote walikuwa ni wachaga(nimechukulia mfano tu)), kauli zao zote zilikuwa zinahusiana na mahusiano yao na wavulana mbali mbali.

kwa jinsi wao walivyokuwa wakisemezana, wanadai kuwa mwanaume yeyote atakaefall kwao, first priority ni pesa!!

otherwise, TUPA KULE!! VALUELESS!

hapo ndio mabinti wengi wanapokuwa wanapotoshana!
 
Mapenzi yanaenda na wakati. Wakati huo kungekuwa na magari wangejitanua nayo.
Na sasa hivi kuna watu wanapenda kweli ndo mana kuna ndoa.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Siku hizi mapenzi yamekuwa artificial sana ila zamani mtu anakupenda kuanzia wewe na familia japo mpo masikini walikuwa hawajali, ila kwasasa mtu anaangalia unanini kwanza!

tatizo wenyewe mnapenda kuonekana xanaaaaa mnazo thats y mapenz yapo hvo...
 
Kwa Mungu kila kitu kinawezekana..

Mapenzi ya kweli yapo kabisa katika ulimwengu wetu wa sasa

Naamini kwenye hilo kabisaaa. Kwamba hata leo unaweza kupata mtu akakupenda kwa dhati bila kuangalia hali yako ya fedha ikoje...

Siku zote mtu unatakiwa kuoa mke "wako"... meaning mtu unaye match kifikra na mitazamo mbalimbali....ukimpata mtu huyu hakika maisha yako yatakuwa na furaha hata kama hamjala kitu..

Lakini ukioa mke wa watu, kila siku tabu...hata kama kuna kila kitu ndani.

USHAURI; oeni wake/ waume wenu...ukiteleza tu ile nyimbo ya rich mavoko itakuhusu saaana
 
Ni kweli....hali ngumu sana kwasas..bila kupata wa kufanana naye ndoa itakuwa ndoano
 
Back
Top Bottom