Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,892
- 52,492
Kiukweli nabaki kushangaa watu wanaosema hakuna mapenzi ya dhati,
kutokana na kuwa na mawazo hayo yamepeleka wanaume na wanawake kufake upendo kwa kujiamisha kwamba hakuna upendo wa kweli.
kutokana na kuwa na mawazo hayo yamepeleka wanaume na wanawake kufake upendo kwa kujiamisha kwamba hakuna upendo wa kweli.
Naamini kwenye hilo kabisaaa. Kwamba hata leo unaweza kupata mtu akakupenda kwa dhati bila kuangalia hali yako ya fedha ikoje...
Siku zote mtu unatakiwa kuoa mke "wako"... meaning mtu unaye match kifikra na mitazamo mbalimbali....ukimpata mtu huyu hakika maisha yako yatakuwa na furaha hata kama hamjala kitu..
Lakini ukioa mke wa watu, kila siku tabu...hata kama kuna kila kitu ndani.
USHAURI; oeni wake/ waume wenu...ukiteleza tu ile nyimbo ya rich mavoko itakuhusu saaana