Bora umenisaidia kumjibu Himidini!!!Mapenzi yakweli yapo sana tu !! Semeni kuwa hamjabahatika kuwapata wanaowapenda kwa dhati!!
Mapenzi yakweli yapo sana tu !! Semeni kuwa hamjabahatika kuwapata wanaowapenda kwa dhati!!
Hayo mapenzi ni ya Analogi siku hizi digitali toa pesa toa ulichonacho,una nini ni criteria za kumpenda mtu
Mi napenda mtu alivyo japo most of the are cowards..they dont see the worth of my love!!!^^
Love is for sale trust me! Umpate mwanamke anaekupenda ulivyo au ndugu zako, utakutana nae ndotoni, otherwise You pay
^^
Hayo mapenzi ni ya Analogi siku hizi digitali toa pesa toa ulichonacho,una nini ni criteria za kumpenda mtu
Na kwa imani hii uliyonayo hata ukipata anayekupenda kweli utahisi anaigiza tu.^^
Love is for sale trust me! Umpate mwanamke anaekupenda ulivyo au ndugu zako, utakutana nae ndotoni, otherwise You pay
^^
Mi napenda mtu alivyo japo most of the are cowards..they dont see the worth of my love!!!
Shosti wanafikiri mapenzi yana fomula wanakremu loh!!!Na kwa imani hii uliyonayo hata ukipata anayekupenda kweli utahisi anaigiza tu.
Mapenzi ya dhati yapo,msikariri.
Mapenzi yakweli yapo sana tu !! Semeni kuwa hamjabahatika kuwapata wanaowapenda kwa dhati!!
Bado sijajihisi nipo peponi :disapointed:Hujapata tu wa kukupenda kwa dhati
Unaweza kuhisi uko peponi ..........!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
tatizo lenu mnakutana na mibazazi ya kike ya mjini ama mnataka wasomi wenzenu wanaojua kutumia kalkuleta zao vizuri mtaacha kukamuliwa?kaoeni vijijini huko watoto wazuri hawana hata gharama loh !