Mapenzi ya kweli yalikuwa haya mengine blah blah!

Mi napenda mtu alivyo japo most of the are cowards..they dont see the worth of my love!!!

^^
Kila mmoja anapenda pendo lake LITHAMINIWE tatizo ni kuwa the worth of love wanawake huitambua mwanaume akishatoweka..
Na sio kuwa ni waoga kama unavyodhani bali Love without attachements imetoweka
^^
 
Na kwa imani hii uliyonayo hata ukipata anayekupenda kweli utahisi anaigiza tu.
Mapenzi ya dhati yapo,msikariri.

^^
Yapo ya Unconditional love.. Sikariri naelewa nalosema.
^^
 
^^
Love is for sale trust me! Umpate mwanamke anaekupenda ulivyo au ndugu zako, utakutana nae ndotoni, otherwise You pay
^^

Big NO !! hayo ni mawazo ya mtu aliyejurihiwa na ukiendelea kuamini hivi utakosa hata yule anayeonesha true love kwako! Unajua mapenzi yanaongozwa na hisia ukiona yule unayemtaka wewe haoneshi hisia za mapenzi kwako jua hana mapenzi na huwezi sema that is true love! Anayekupenda atakupenda jinsi ulivyo and not blah blah! So mapenzi ya kweli yapo tunashuhudia na pengine kupitia kabisa!!
 
^^
Kila mmoja anapenda pendo lake LITHAMINIWE tatizo ni kuwa the worth of love wanawake huitambua mwanaume akishatoweka..
Na sio kuwa ni waoga kama unavyodhani bali Love without attachements imetoweka
^^
The same applies to men too if we apply your theory of "WORTH OF LOVE".....Ndio kama umeshakubali kuwa mpaka nyinyi wanaume mnaogopa love with attachments...How will there be any love?:confused2:....When you love someone you have to be committed and attached!!
 
Lakini mmejiuliza wangapi walikuwa na hizo baiskeli,pengine kijiji kizima alikuwa nayo huyo mmoja tuu hapo,mnaionaje hii!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Big NO !! hayo ni mawazo ya mtu aliyejurihiwa na ukiendelea kuamini hivi utakosa hata yule anayeonesha true love kwako! Unajua mapenzi yanaongozwa na hisia ukiona yule unayemtaka wewe haoneshi hisia za mapenzi kwako jua hana mapenzi na huwezi sema that is true love! Anayekupenda atakupenda jinsi ulivyo and not blah blah! So mapenzi ya kweli yapo tunashuhudia na pengine kupitia kabisa!!
Sijui kitufe cha like kiko wapi??LIKEEEEEEE
 
Bado sijajihisi nipo peponi :disapointed:
Usijali

Iko siku tu

Wanaume tunaojua thamani ya mwanamke na kujua umuhimu wake tupo wengi sana

Jukumu ni lako kuwajua na kuwakubali .....!!!!!!!!!
 
Siku hizi mapenzi yamekuwa artificial sana ila zamani mtu anakupenda kuanzia wewe na familia japo mpo masikini walikuwa hawajali......ila kwasasa mtu anaangalia unanini kwanza!

attachment.php

sasa zamani hio baiskeli si ndio ilikuwa kama VEROSSA.....game imechange sasa hivi...
 
mapenzi ya kweli yapo..ukipenda unapopendwa..vinginevyo ni hataru sana
 
^^
Love is for sale trust me! Umpate mwanamke anaekupenda ulivyo au ndugu zako, utakutana nae ndotoni, otherwise You pay
^^

Nani kakuambia mwanamke anapenda mwanamke anatamani according to bible IPA mwanamme ndo ajayependa akitamani ni dhambi kubwa sana.
 
😛ray:Tumuombe Mungu maana yeye ni Mwema sana kwetu
 
Big NO !! hayo ni mawazo ya mtu aliyejurihiwa na ukiendelea kuamini hivi utakosa hata yule anayeonesha true love kwako! Unajua mapenzi yanaongozwa na hisia ukiona yule unayemtaka wewe haoneshi hisia za mapenzi kwako jua hana mapenzi na huwezi sema that is true love! Anayekupenda atakupenda jinsi ulivyo and not blah blah! So mapenzi ya kweli yapo tunashuhudia na pengine kupitia kabisa!!

^^
Mbona mnakuwa wepesi wa kubadilika enyi wanawake?
Kila uchao mnalia humu kuwa mapenzi ni pesa, na hamtaki wanaume suruali??
Uko wapi uaminifu wa kauli zenu?
Au niamini wahenga walivosema, mwanamke ni kama kivuli ukimfuata anakukimbia,ukimkimbia anakufuata?
mimi49 Ennie Munkari
^^
 
Last edited by a moderator:

I always stand by what i say,najijua mimi sio mtu kigeugeu...and believe me najua ninachotaka....Its sad kwamba wanaume walio wengi wamekutana na watu vigeugeu na wanaweka wanawake wote kwenye fungu mmoja,hio inakuwa sio sahihi....Kwasababu hata wanaume vigeugeu wapo vilevile....Mimi katika maisha yangu sijawahi kupenda mtu mwenye pesa NEVER labda naweza kusema sichagui watu wa aina hio kwasababu kila mtu ana chaguo,nilokuwa na past nao ni CHOKA MBAYA...Nampenda mtu kutokana na UTU wake na si mfuko wake!
 
Una uhakika pesa ya mwanaume haiathiri chaguo lako?
(usinipe jibu haraka)
^^
 
Back
Top Bottom