Mapenzi ya daktari na mgonjwa

Mapenzi ya daktari na mgonjwa

E bwana, madaktari wa kinywa na meno nao wanakomaje, especially kwa wadada ambao matatizo yao siyo emergency. Yaani ni cosmetic na elective zaidi. Wanatupia visketi vifupi na vinguo vya juu dizaini ya top, akijibweteka tu kwenye dental chair kisketi kinapanda juu, paja zote mbili nje nje, akiniinama kidogo katop kanapanda, kimgongo chote nje, hapo sasa kama ni shanga haya, kama ni gold or chain za kichina haya, kama ni bikini au chupi imesahaulika kazi kwako. Sasa hapo dentist ndo kuweka sura ya ukauzu kweli kweli, la sivyo hata gharama za matibabu zitasahaulika. Ukijologa utoe namba za simu ndo hatariii zaidi, hata usiku wa manane utasikia ngriii ngriii ngriiii, samahani dr, yaani jino linauma balaa, ilhali unajua kabisaa umemchapa na dawa za maumivu ambazo hata cancer inaziogopa. Jamani madaktari mara nyingi wanategwaaaa

Ha ha ha ha ha

Kweli huo in mtihani. ..
 
Kwa uzoefu Wangu wa miaka miwili kazini nimegundua wagonjwa ndio wanaowashobokea madaktari.Mgonjwa akishatibiwa utaskia "Nikupe zawadi gani?" ukimwambia hutaki zawadi yoyote yeye anakomaa na kuanza mitego ya ajabuajabu.Nashkuru nimeoa kifaa siwezi kusaliti.
 
Mkuu kuna wagonjwa wanaojenga imani na madaktari wanaowatibu, ndiyo maana unakuta baadhi ya wagonjwa wanachagua madaktari wa kuwatibu, usipomjali wakati wa kumhudumia anakukwepa, next meeting unaonanaye kwenye corridor hospital anamtafuta daktari mwingine wa kumtibu hata kama uliweka appointment naye .

It seems you are a good Doctor ndiyo maana wanakuganda! That's good in medical Field.

Well said Chakii
 
mkuu katika maadili ya daktari hapa tanzania naweza kusema hakuna sehemu inayomkataza daktari kuwa na mahusiano na mgonjwa wake,kumkataza ni kumuonea tu kwani hiyo ndiyo sample yake anayoweza kuopoa mke au mume kama ilivyo kwa mgonjwa,kama ilivyo kwa mwalimu na mwanafunzi,wanasiasa,mabosi na wahudumu n.k

kuhusu kubaka au hata kubakwa hilo ni kosa kisheria na hatua sitahiki ni lazima zifuatwe,ndio maana wakati wa uchunguzi(physical examination) madaktari wanashauriwa kuwa na matron au patron atakayeshuhudia uchunguzi unavyoendelea.

hebu tuangalie kipengele cha kwanza kabisa cha maadili ya madaktari

RESPECT FOR THE PATIENT
Doctors must pay full respect at all times and in all circumstanceses to persons they attending.

This principle applies irrespective of age,race,colour,gender,sexual orientation,life style,religion,education level,social economic position or political affinities of the perssons they are attending as well as of the status,e.g refugees,prisoners or visitors and of the diseases or dissabilities from which they are suffering
kwa hisani ya MAT ethics booklet
 
Makoti meupe ni sumu, hadi kitaa wanaogopa kujitambulisha kama wao ni madaktari
 
Wamama someni hizi nyuzi humu. Hakuna Profesional yeyote mwenye akili timamu atatumia nafasi yake kumlamba mwanamke asiye wake.
Mwanamke mwingine akifika akikuta Dr. ni mwanamke mwenzake anahamia msatari wenye mwanamume. Wanasema ati madaktari wa kike ni wabaya sana, hawawasikilizi. Hao wamepotoka tangu kale ni madalali wa ngono hao. Wanamdenda mume wa mtu ka kupe hao. Mara Dr naumwa hukuuuu na sijui mume wangu ana mpini mkuubwa angalia ninavyo umizwa hukuuuu, na upuuzi usio neneka.
Kuangushwa ofisini ni mapenzi yako mwenyewe si vinginevyo
 
Back
Top Bottom