OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Dah me nakumbuka nimeelazwa muhimbili 2004 , mida ya usiku wa manane si nkasiki miguno ya mapenzi , kuangalia nesi anagongwa na jamaa aliyekuja kulala na mgonjwa .. Nilikasirika mnoo... Namwita nesi anajibu we si utuliee , sindano yako mpaka saa kumi... Mamaee
Ha ha haaaaa na hivi ulikuwa na "wigo" ukaona jamaa kama kalamba bingo!!!!
Sasa we unaona kabisa hawezi kuja uliita ili iweje na sindano kumbe sa kumi????!!!!