Mapenzi ya daktari na mgonjwa

Mapenzi ya daktari na mgonjwa

Muimbishie kwenye Pm. Hapa hadharani hakuna privacy, atakuelewa tu huko mkamalizane tu. Mkuu we mbayaaaa!

Ha ha haaaaa zali nyingine unakutana nazo tu kama huyu namzimika vilivyo nimemkuta hapa sasa nifanyaje????!!!
 
Labda walikuwa side room au nurse's station na mida hiyo kashawatungua dozi akajua safi mambo yake!!!!!

Jamaa akasikia "delirium" akaita!!!!

Kuna wagonjwa wanoko sana!!!!!
side room ni mbali kutoka kwa wagonjwa wanapo lala labda alikuwa anapiga chabo huyo!
 
Unajua wagonjwa wanapenda manesi sasa huyu jamaa labda alijua akipona tu alianzishe sasa likamkuta hili akaona japo aite na jibu likawa aendelee kuwa mpole till the next injection is due!!!!
 
lakini hata nesi alitakiwa afanye kimya kimya angalau kuficha ukizingatia na mazingira yale si rasmi kwa biashara ya "uumbaji" kelele zake zikasababisha mgonjwa amnokolee
 
Ha ha haaaa labda mambo mengine ni involyuntari!!!!

Alidhani angeweza
 
Watanyang'anywa vyeti wangapi asilimia 60 wapo hivyo sijui kwa nini au mazingira ya vitanda kwenye ofisi zao na kwa magyno ile kuvu vua nguo kunawapa ushawishi.
 
E bwana, madaktari wa kinywa na meno nao wanakomaje, especially kwa wadada ambao matatizo yao siyo emergency. Yaani ni cosmetic na elective zaidi. Wanatupia visketi vifupi na vinguo vya juu dizaini ya top, akijibweteka tu kwenye dental chair kisketi kinapanda juu, paja zote mbili nje nje, akiniinama kidogo katop kanapanda, kimgongo chote nje, hapo sasa kama ni shanga haya, kama ni gold or chain za kichina haya, kama ni bikini au chupi imesahaulika kazi kwako. Sasa hapo dentist ndo kuweka sura ya ukauzu kweli kweli, la sivyo hata gharama za matibabu zitasahaulika. Ukijologa utoe namba za simu ndo hatariii zaidi, hata usiku wa manane utasikia ngriii ngriii ngriiii, samahani dr, yaani jino linauma balaa, ilhali unajua kabisaa umemchapa na dawa za maumivu ambazo hata cancer inaziogopa. Jamani madaktari mara nyingi wanategwaaaa
 
Ha ha haaaa kwa visa hivi clinical coat ina kazi nyingi!!!!
 
Back
Top Bottom