Mapenzi ya daktari na mgonjwa

Mapenzi ya daktari na mgonjwa

kweli mkuu wanakera sana.tena inaniudhi mtu kajifungua juzi tu anaanza kukustalk,akikutana na daktari mwingine anagoma kutibiwa mpaka aje kwako.sometimes wanaliwa kutokana na vimbelembele vyao.binafsi nishawahi kuwa na wapenzi kama wawili lakini niliwatokea baada ya wao kupona na sio kwa kutumia taaluma yangu.kuna mke wa mtu alinifanya nibadilishe mpaka namba ya simu...

Mkuu kuna wagonjwa wanaojenga imani na madaktari wanaowatibu, ndiyo maana unakuta baadhi ya wagonjwa wanachagua madaktari wa kuwatibu, usipomjali wakati wa kumhudumia anakukwepa, next meeting unaonanaye kwenye corridor hospital anamtafuta daktari mwingine wa kumtibu hata kama uliweka appointment naye .

It seems you are a good Doctor ndiyo maana wanakuganda! That's good in medical Field.
 
Acha tu ni lawama inayonikera sana mkuu!!!
Almanusra nikose ajira siku moja mwenye mke kaja kwa hospital owner anadai mkewe anatembea nami by then, naitwa kupewa hiyo tuhuma kuwa namharibia wateja wake wakuu!!!!

Mkewe owner (accountant n admin) ndio aliingilia kati kuwa yule mama seems ananishobokea mwenyewe sababu yeye kama mwanamke amekuwa aki observe na anaweza sema kabisa kuwa yule mama ndio chnazo!!!!

Mwingine ali mis carry baada ya hapo sasa!!!!!!!!
Bado wasichana wanao telekezwa ukamuhudumia mtoto wake vizuri baas inaanzia hapo!!!!!

Ni taabu mkuu haswa kama unajitambua na unajiweka vizuri na fani unaijua kunakuwa na mvuto tu taka usitake ni kujitambua tu ndio salama!!!!!!
 
Mkuu kuna wagonjwa wanaojenga imani na madaktari wanaowatibu, ndiyo maana unakuta baadhi ya wagonjwa wanachagua madaktari wa kuwatibu, usipomjali wakati wa kumhudumia anakukwepa, next meeting unaonanaye kwenye corridor hospital anamtafuta daktari mwingine wa kumtibu hata kama uliweka appointment naye .

It seems you are a good Doctor ndiyo maana wanakuganda! That's good in medical Field.

Ni wewe unayetazama kwa jicho hilo, watu wanabadilishwa zamu kila uchao kisa ni good practice and patient care!!!!

Lakini ni ukweli ulio wazi wagonjwa wapo wa aina nyingi sana sana na vituko ni vingi sana labda kuliko mtu anavyoweza kudhani!!!!!!!

Anaweza kuja na comps za kifua na maelezo kama ya pneumonia sasa mwambie say afungue vishikizo for auscultation waweza kuta kavua mpaka bra, ole wako sasa uwe hukuwa na nurse!!!!!

Yaaapo mavisa kibao tu!!!
 
Hahaha si unajua eeh.
aisee Mungu alietutoa umasaini na atukuzwe.

Tena ukijibu maswali ya dr mume anakuwa mkali hukawii kudundwa. Pata picha dr akisema vua sketi ulale hapo nyuma ya pazia hehehe, mbona hapatatosha sasa? Serikali mesaidia sana mama yoyoo aisee. Ashenaleee!
Ha ha haaaaa tena anaweza kubisha kama.yeye ndio mgonjwa kisa aliambiwa juzi kichwa kinauma basi akimfikisha tu hata kama siku hiyo shida sio hiyo ye anataka hiyo ndio main complain!!!!!

Msee dakitari jatraja kichwa!!!
We ndo unaumwa????!!!
Sio, ila mi najua hiyo tangu mutrotro kabisa!!!!
 
Hahaha si unajua eeh.
aisee Mungu alietutoa umasaini na atukuzwe.

Tena ukijibu maswali ya dr mume anakuwa mkali hukawii kudundwa. Pata picha dr akisema vua sketi ulale hapo nyuma ya pazia hehehe, mbona hapatatosha sasa? Serikali mesaidia sana mama yoyoo aisee. Ashenaleee!

Nasema afue nguo!!!???
Syeeee patia dawa tu tapona!!!!!!
Au dawa afanyi kasi na nguo????!!!
Badili hiyo patia ye sindano tu ndio naponaga!!!!
 
Ni wewe unayetazama kwa jicho hilo, watu wanabadilishwa zamu kila uchao kisa ni good practice and patient care!!!!

Lakini ni ukweli ulio wazi wagonjwa wapo wa aina nyingi sana sana na vituko ni vingi sana labda kuliko mtu anavyoweza kudhani!!!!!!!

Anaweza kuja na comps za kifua na maelezo kama ya pneumonia sasa mwambie say afungue vishikizo for auscultation waweza kuta kavua mpaka bra, ole wako sasa uwe hukuwa na nurse!!!!!

Yaaapo mavisa kibao tu!!!

Mkuu nakushangaa sana, iweje ufanye Jambo kama hilo bila kuwa na Chaperone ukizingatia ni jinsia tofauti hiyo?

Review tena utaratibu wa namna ganiya ku-conduct Physical examination kwa client wako.
 
Mkuu niliweka neno ole wako sasa kama hukuwa...
 
navyojua kitu unavyoona kila siku unakuwa huna ham nacho,sasa daktari wa magonjwa ya kike naye hazoei tu wakati anaziona kila siku
 
Mkuu nakushangaa sana, iweje ufanye Jambo kama hilo bila kuwa na Chaperone ukizingatia ni jinsia tofauti hiyo?

Review tena utaratibu wa namna ganiya ku-conduct Physical examination kwa client wako.

Mkuu bila ya kuwa na nurse hapo ndani kuna kazi itaenda kwa type ya wasichana(baadhi )wa siku hizi???!!!!

Pole kwa madaktari wanaolaumiwa! !!!
 
Duh, na ugonjwa wote huo unakaa unatongozwa
 
navyojua kitu unavyoona kila siku unakuwa huna ham nacho,sasa daktari wa magonjwa ya kike naye hazoei tu wakati anaziona kila siku

Anaona kwa dhumuni gani???!!!
Kuzoea kwa vipi? ??!!!!
 
Kuna kundi la viongozi wa kiroho pia!
Nafkr ule upole unyenyekevu busara kusikiliza ndo vinafanya watu wahitimishe kuwa wapo kweny mikono salama kumbe wenzao waapo kazini!
 
Kuna baadhi ya madaktari wana tabia za ajabu sana wamevuka mipaka badala ya marupurupu yao kuwa ni pesa sasa marupurupu imekuwa ni ngono kwa wagonjwa.
Yaani mgonjwa akiwa anatibiwa daktari anaanza kumtongoza ili kulipwa fadhila ya ngono baada ya mgonjwa kupona. Wengine wanadiriki hata kufanyia ushenzi huu ofisini kabisa!
Je, haya ndo marupurupu ya doctor? Hii ni kinyume kabisa cha maadili.

mgonjwa mwenyewe anatoa akipenda sasa kwanini doctor akatae?
 
Dah me nakumbuka nimeelazwa muhimbili 2004 , mida ya usiku wa manane si nkasiki miguno ya mapenzi , kuangalia nesi anagongwa na jamaa aliyekuja kulala na mgonjwa .. Nilikasirika mnoo... Namwita nesi anajibu we si utuliee , sindano yako mpaka saa kumi... Mamaee
 
Na wewe umbea umekuzidi, sasa unaumwa ya nini uhangaike na mambo mengine usiyoyaweza?

Anyway manesi watamu sana naona Jamaa alikamata fursa kiulaini tena hakukuwa na haja ya Privacy maana ilikuwa mida mibovu hiyo.
 
Naona unatamani ungekuwa ni wewe kwenye hiyo fursa! Teh teh teh!
 
Back
Top Bottom