Mapenzi unayonipa ni zaidi ya pesa

Mapenzi unayonipa ni zaidi ya pesa

You're in love.



Wakati mwingine nahisi kuchanganyikiwa lakini najikaza, mapenzi unayonipa ni zaidi ya pesa kwa wachaga wenzangu, mwanzo nilifikiri pesa pesa pesa, lakini nimegundua upendo wako kwangu ni zaidi ya pesa.

Kila nikikufikiria moyo wangu kwatuu, nahisi mapigo ya moyo yanaenda kwa speed ambayo sio ya kawaida. Halafu najikuta namshukuru Mungu cause ingekuwa mapigo ya moyo yanawekewa speed gavana ningelipishwa faini mara nyingi sana.

Ashukuriwe Mungu maana ameweka siri kubwa sana hapo. Naamini unajijua na naomba upokee shukrani zangu kutoka moyoni.

Naahidi kukupenda daima.
 
STUNTER Leo umefanya vizuri Hongera,,ndo hivyo wanake wa mitandaoni kila litokealo lazima lipostiwe,Leo umefikishwa tulia basi
 
siku ukiachwa usisahau kumushukuru Mungu pia maana Njia anayokuonyesha sasa ya kupendwa hivyo hivyo ayukuonyesha njia ya kutokupendwa
 
yaan ni kweli hapa though sometimes i had to give this flesh some food. otherwise ningeweza kukaa bila kula
jje's bwana...
..enjoy while it lasts!!

..Perhaps it could be lust...[emoji12]
 
Back
Top Bottom