y unanitabiria kuachwa? anyway nitamshukuru pia cause kila jambo linalotokea kwangu lina kusudi la Mungu.siku ukiachwa usisahau kumushukuru Mungu pia maana Njia anayokuonyesha sasa ya kupendwa hivyo hivyo ayukuonyesha njia ya kutokupendwa
Hahaha... Huenda ikawa kweliHa ha ha ha sio propaganada kijana mtoto kajiachia kwenye mnazi
Bora alikuacha dilema....mimi kaniacaha dimagu[emoji1][emoji1]nilibak kushangaa hata mie, shem hebu ulete mrejesho akikujibu maana bado niko dilema.
Aisee kwanini usitunge vitabu vya hadith za mapenzi utauza . Umekalia uchumi mkuu.Mapenzi ni matamu....sana hasa nyoyo mbili zilizoshibana kwa huba zinapokutana.......ni kama vile unaishi katika ulimwengu mwingine wa raha.....
Ni kama vile umeuweka ulimwengu kiganjani.....
Raha yake haielezeki kiasi kwamba unakuwa bubu ingali unaweza kuongea......
Uzito wa penzi unapofusha macho kiasi kwamba huoni baya juu ya huyo aliyebeba huba lako......
Raha za pendo zinakufanya chumba kimoja cha mpenzi wako na kibatali....uone kama umelala kwenye hotel ya nyota tano.....
THAT IS LOVE....
THAT IS POWER OF LOVE.....
Hivi kwanini wanawake kama wewe wote mmenyakuliwa? I hope hiki ulichokiandika huwa unamueleza wakati mkiwa wawili...kwani ni muhimu kwa muhusika kuupata huu utenzi maridhawa kuliko sisi.Embu mtumie basi hata kwa whatsapp uone libido yake itakavyopanda kwa kasi leo uchezee mkwaju barabara uje kutoa mrejesho jamvini.Wakati mwingine nahisi kuchanganyikiwa lakini najikaza, mapenzi unayonipa ni zaidi ya pesa kwa wachaga wenzangu, mwanzo nilifikiri pesa pesa pesa, lakini nimegundua upendo wako kwangu ni zaidi ya pesa.
Kila nikikufikiria moyo wangu kwatuu, nahisi mapigo ya moyo yanaenda kwa speed ambayo sio ya kawaida. Halafu najikuta namshukuru Mungu cause ingekuwa mapigo ya moyo yanawekewa speed gavana ningelipishwa faini mara nyingi sana.
Ashukuriwe Mungu maana ameweka siri kubwa sana hapo. Naamini unajijua na naomba upokee shukrani zangu kutoka moyoni.
Naahidi kukupenda daima.
[emoji2] [emoji2]Asante bby nimezipokea shukrani zako... na nikuahidi kwa dhati maana msema uongo mpenzi wa shetani nitaendelea Kukukojoza Kweli Kweli.
(In Guma's voice)
Wakati mwingine nahisi kuchanganyikiwa lakini najikaza, mapenzi unayonipa ni zaidi ya pesa kwa wachaga wenzangu, mwanzo nilifikiri pesa pesa pesa, lakini nimegundua upendo wako kwangu ni zaidi ya pesa.
Kila nikikufikiria moyo wangu kwatuu, nahisi mapigo ya moyo yanaenda kwa speed ambayo sio ya kawaida. Halafu najikuta namshukuru Mungu cause ingekuwa mapigo ya moyo yanawekewa speed gavana ningelipishwa faini mara nyingi sana.
Ashukuriwe Mungu maana ameweka siri kubwa sana hapo. Naamini unajijua na naomba upokee shukrani zangu kutoka moyoni.
Naahidi kukupenda daima.
AmenWakati mwingine nahisi kuchanganyikiwa lakini najikaza, mapenzi unayonipa ni zaidi ya pesa kwa wachaga wenzangu, mwanzo nilifikiri pesa pesa pesa, lakini nimegundua upendo wako kwangu ni zaidi ya pesa.
Kila nikikufikiria moyo wangu kwatuu, nahisi mapigo ya moyo yanaenda kwa speed ambayo sio ya kawaida. Halafu najikuta namshukuru Mungu cause ingekuwa mapigo ya moyo yanawekewa speed gavana ningelipishwa faini mara nyingi sana.
Ashukuriwe Mungu maana ameweka siri kubwa sana hapo. Naamini unajijua na naomba upokee shukrani zangu kutoka moyoni.
Naahidi kukupenda daima.
doooh yaan kule universal nimepotea kabisa coz of viunganishi nimerudi manual transmission....na huku nako nabeep beep sana.lovely, uliendaga wapi kwa mfano.
too much bze eeeh.
Yess....mawe yamepasuka now naenjoy matumizi ya changarawe tu.but pambana. hope yale mambo yanaenda poa kabisa