Mara zote huwa nashindwa kuchagua, kuna wakat naona maneno matamu ni faraja zaidi kuliko matendo but wakati mwingine nayamiss sana matendo kuliko faraja ya maneno matupu.Wakati mwingine nahisi kuchanganyikiwa lakini najikaza, mapenzi unayonipa ni zaidi ya pesa kwa wachaga wenzangu, mwanzo nilifikiri pesa pesa pesa, lakini nimegundua upendo wako kwangu ni zaidi ya pesa.
Kila nikikufikiria moyo wangu kwatuu, nahisi mapigo ya moyo yanaenda kwa speed ambayo sio ya kawaida. Halafu najikuta namshukuru Mungu cause ingekuwa mapigo ya moyo yanawekewa speed gavana ningelipishwa faini mara nyingi sana.
Ashukuriwe Mungu maana ameweka siri kubwa sana hapo. Naamini unajijua na naomba upokee shukrani zangu kutoka moyoni.
Naahidi kukupenda daima.
View attachment 437698
Wasije wakasema umetoka kugegedwa
😀
Re: Enyi Wanawake Mlioko kwenye Ndoa Watunzeni Waume zenu.
Yaan wewe umepotea mpaka nikahisi umerudi mavumbiniMissing you.....Mulhat
Duuuh.....Yaan wewe umepotea mpaka nikahisi umerudi mavumbini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nafanya nikiwa ofisiniDuuuh.....
Nlijua boss kakutumbua pale ofisini maana ulikuwa bize mnoo na jf
Tupunguze ukali wa maneno jamani......!!Mapenzi ni matamu....sana hasa nyoyo mbili zilizoshibana kwa huba zinapokutana.......ni kama vile unaishi katika ulimwengu mwingine wa raha.....
Ni kama vile umeuweka ulimwengu kiganjani.....
Raha yake haielezeki kiasi kwamba unakuwa bubu ingali unaweza kuongea......
Uzito wa penzi unapofusha macho kiasi kwamba huoni baya juu ya huyo aliyebeba huba lako......
Raha za pendo zinakufanya chumba kimoja cha mpenzi wako na kibatali....uone kama umelala kwenye hotel ya nyota tano
Wakati mwingine nahisi kuchanganyikiwa lakini najikaza, mapenzi unayonipa ni zaidi ya pesa kwa wachaga wenzangu, mwanzo nilifikiri pesa pesa pesa, lakini nimegundua upendo wako kwangu ni zaidi ya pesa.
Kila nikikufikiria moyo wangu kwatuu, nahisi mapigo ya moyo yanaenda kwa speed ambayo sio ya kawaida. Halafu najikuta namshukuru Mungu cause ingekuwa mapigo ya moyo yanawekewa speed gavana ningelipishwa faini mara nyingi sana.
Ashukuriwe Mungu maana ameweka siri kubwa sana hapo. Naamini unajijua na naomba upokee shukrani zangu kutoka moyoni.
Naahidi kukupenda daima.
Mentor mentor, hapa uliyemtaja siwezi acha kumpenda though niliyemuandikia sio yeye. unajua wazi tunaishi katika ulimwengu wa mwili na nyama. Hayo niliyoandika yanahusika na mambo hayo.I love Jesus and I am not afraid to say it.
.
.
.
I hope huyo anayeambiwa haya yote ni huyo.
moyo wa mtu nini jamani. expandLove is not about how many days,weeks or months you've been together,it's all about how much you love each other every day.
What you have written is DEEP.
'Yule kijana aliupokea ujumbe kwa kujali, kwa heshima na unyenyekevu mkubwa sana.
(Moyo wa mtu)
Mentor mentor, hapa uliyemtaja siwezi acha kumpenda though niliyemuandikia sio yeye. unajua wazi tunaishi katika ulimwengu wa mwili na nyama. Hayo niliyoandika yanahusika na mambo hayo.
hope nimekujibu vyema.