jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,585
Wakati mwingine nahisi kuchanganyikiwa lakini najikaza, mapenzi unayonipa ni zaidi ya pesa kwa wachaga wenzangu, mwanzo nilifikiri pesa pesa pesa, lakini nimegundua upendo wako kwangu ni zaidi ya pesa.
Kila nikikufikiria moyo wangu kwatuu, nahisi mapigo ya moyo yanaenda kwa speed ambayo sio ya kawaida. Halafu najikuta namshukuru Mungu cause ingekuwa mapigo ya moyo yanawekewa speed gavana ningelipishwa faini mara nyingi sana.
Ashukuriwe Mungu maana ameweka siri kubwa sana hapo. Naamini unajijua na naomba upokee shukrani zangu kutoka moyoni.
Naahidi kukupenda daima.