Mapenzi unayonipa ni zaidi ya pesa

Mapenzi unayonipa ni zaidi ya pesa

Mumy naona maneno umeyatupa kwa ujumbe mzito. Nina imani ujumbe umemfikia.
 
i did not mention kukujozwa. Mapenz is not all about kukojozwa. Luckly it was not meant for you so shida sipati hata kwa uzi wako.
Thanks anyway.
Hongera sana, shukuru Mungu kwa kila jambo na endelee kuombea uhusiano wenu ufike mbali zaidi. All the best. Wengine tuko nyuma yako twafwata nyayo zako
 
Hongera sana, shukuru Mungu kwa kila jambo na endelee kuombea uhusiano wenu ufike mbali zaidi. All the best. Wengine tuko nyuma yako twafwata nyayo zako
karibu and thanks for the advice
 
wacha we
unashiba bila kula
yaan ni kweli hapa though sometimes i had to give this flesh some food. otherwise ningeweza kukaa bila kula
 
Back
Top Bottom