Mapenzi unayonipa ni zaidi ya pesa

Mapenzi unayonipa ni zaidi ya pesa

Wakati mwingine nahisi kuchanganyikiwa lakini najikaza, mapenzi unayonipa ni zaidi ya pesa kwa wachaga wenzangu, mwanzo nilifikiri pesa pesa pesa, lakini nimegundua upendo wako kwangu ni zaidi ya pesa.

Kila nikikufikiria moyo wangu kwatuu, nahisi mapigo ya moyo yanaenda kwa speed ambayo sio ya kawaida. Halafu najikuta namshukuru Mungu cause ingekuwa mapigo ya moyo yanawekewa speed gavana ningelipishwa faini mara nyingi sana.

Ashukuriwe Mungu maana ameweka siri kubwa sana hapo. Naamini unajijua na naomba upokee shukrani zangu kutoka moyoni.

Naahidi kukupenda daima.

Hapa sasa ndipo mmoja kati yangu na STUNTER anatakiwa afanye maamuzi magumu...

Ishakuwa tabu tayari...
 
Tabu iko wapi? [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Hapa sasa ndipo mmoja kati yangu na STUNTER anatakiwa afanye maamuzi magumu...

Ishakuwa tabu tayari...
Tabu iko wapi?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Mapenzi ni matamu....sana hasa nyoyo mbili zilizoshibana kwa huba zinapokutana.......ni kama vile unaishi katika ulimwengu mwingine wa raha.....

Ni kama vile umeuweka ulimwengu kiganjani.....

Raha yake haielezeki kiasi kwamba unakuwa bubu ingali unaweza kuongea......

Uzito wa penzi unapofusha macho kiasi kwamba huoni baya juu ya huyo aliyebeba huba lako......

Raha za pendo zinakufanya chumba kimoja cha mpenzi wako na kibatali....uone kama umelala kwenye hotel ya nyota tano.....


THAT IS LOVE....

THAT IS POWER OF LOVE.....
Huo uchizi jmani tumepewa akili ya kujua mema na mabya
 
Back
Top Bottom