mapenzi siku ya kwanza.

mapenzi siku ya kwanza.

"Niponde kama wadau wa ze utamu kila dakika"-Fid Q:usinikubali haraka
 
Acha ujinga kutojiamini huko ukitongoza ulikuwa wataka nini? Au unafanya majaribio! Ushamba wako peleka shamba umezoea ukitongoza binti aanze kungatangata vidole sio? Kama hutaki penzi usitongoze na kama hutaki kupewa siku hiyohiyo jaribu binti msieendana class. Unawatokea ambao sio saizi yako ndo mana. Acha ushamba na uoga namaanisha unachokifanya msionee wanawake namna hiyo hakuna watu cheap kama wanaume. Ukimtongoza mwanaume lazima akupe mbona hilo halisemwi.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
mkizungushwa maneno.....mkipewa haraka maneno!!!!!!!!
hivi mnatakaje??????????
ha ha ha..., kimsingi kupewa fasta kunapunguza value ya mwanamke. mwanamke hata kama ulikuwa humpend akikuzungusha upendo kwake unazidi, unaona kama ana kitu special ambacho utajitahidi mpaka ukipate. unakuja kula mzigo huku ushaanza kumpenda, so kumwacha sio rahisi kama aliyekupa kwa siku moja.

believe or not, mimi ni mwanaume, am talking of my experience.
 
Wizi mtuuuupu.....!!!!!!
unawekwa reserve, ukijidanganya unazungushwa wakati wengine wanajisevia tu......
wanawake ni zaidi ya unavowajua.......
 
Nilipatwa kuulizwa na dada mmoja ambe nilikutana nae kwenye daladala na tukafanikiwa kubadilishana namba..siku ya pili ananitumia sms na kuniuliza namchukuliaje kwani, nahisi kuwa yeye ni dada yangu au? (akimaanisha kwa nini nilimuacha bila ya kwenda nae ku-do).

Hiyo ndo hali tuliyonayo. Maendeleo yapo mbali sana na Tanzania kwa style hii. People can't think other things but sex. Poor Tanzanians
 
unatakiwa usikubali haraka,2banien hata wiki ivi.Mfano mimi nilitongozwa na Demu mmoja nikambania kama mwezi ivi ndo nikamkubalia sasa ivi mpango mzima.

:shock::shock: Tafadhali, naomba unipatie technique alizotumia huyo demu kukutongozea, Maana nimeshanga kidogo, inawezekana mimi bado nipo Analogia sijaamia bado Digital, Sikufahamu kuwa na sisi tunaweze kutongoza.DuuuuuuuuuuuuuuH!!
 
sioni kama unatakiwa kujibiwa chochote hapa......
 
hayo mambo ya kufikiria yashapitwa na wakati......
ila sio unapewa unakimbia, otherwise umwambie ukweli kwamba akusuuzie tu kirungu uchape lapa
we ni mpita njia tu.
TATIZO HAWASEMI. NA UKIWA HIVYO WANAMTAZAMO KUWA UKO RAHISI...... MEN R ALSO COMPLICATED!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kama kuna ambao wanapana penzi hata kabla ya kutongozwa
ndio itakua hao ambao wametongozwa na kukubali kihalali kabisa?
 
Akikuambia anakuchunguza muulize mama wewe ni takukuru......
kama muda upo hata siku ya kwanza poa tu bana kwani kuna tofauti gani ukipewa leo au ukipewa mwakani?
kukompliketisha tu maisha........

Hahahaha! hahahaha! hyo kali! lkn kuchunguzana na kujuana tabia ni muhimu!
 
hayo mambo ya kufikiria yashapitwa na wakati......
ila sio unapewa unakimbia, otherwise umwambie ukweli kwamba akusuuzie tu kirungu uchape lapa
we ni mpita njia tu.
TATIZO HAWASEMI. NA UKIWA HIVYO WANAMTAZAMO KUWA UKO RAHISI...... MEN R ALSO COMPLICATED!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

.........niwe mgumu ila iweje wakati na mie nataka hicho kidudusi?
 
Wizi mtuuuupu.....!!!!!!
unawekwa reserve, ukijidanganya unazungushwa wakati wengine wanajisevia tu......
wanawake ni zaidi ya unavowajua.......
dah! ongelea experience yako, ulisha wahi kumuweka reserve mtu huku ukigegedwa na mwingine?
 
Back
Top Bottom