Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,955
- 16,006
huyo aliyekuwa anatongoza kwenye daladala alikuwa anatengeneza mazingira ya siku nyingine!lkn aliyekuwa anatongozwa kashadadia pale pale!!du...huyo alokuwa anatongoza kwenye daladala alikua anategemea nini.......,
na kama mwenzake alikua na ugwadu ya nini kujivunga.....,