raymond hewitt
Member
- Jun 2, 2013
- 17
- 1
kuna katabia siku hizi unakutana na demu na siku hiyo upata penzi.je ni kwenda na wakati au urahisi wa dada zetu.coz anayetongoza ni mwanaume.
ndo wadada wa technology

haya ni makubaliano kati ya anaetongozwa na mtongozaji wewe akisema subiri kama huwezi kusubiri sepa coz wapo wengi sana, ukisema kila anaekuja unakubali utakubali wangapi? Ladies take care about guys wengi wao wanapita tu, ukiwa mrahisi wanafunua wanafunika wanasepa, kwani ulikataa inaoza?
kuna katabia siku hizi unakutana na demu na siku hiyo upata penzi.je ni kwenda na wakati au urahisi wa dada zetu.coz anayetongoza ni mwanaume.
Akikuambia anakuchunguza muulize mama wewe ni takukuru......
kama muda upo hata siku ya kwanza poa tu bana kwani kuna tofauti gani ukipewa leo au ukipewa mwakani?
kukompliketisha tu maisha........
Yaani utafikiri kweli kumbe.....
unatakiwa usikubali haraka,2banien hata wiki ivi.Mfano mimi nilitongozwa na Demu mmoja nikambania kama mwezi ivi ndo nikamkubalia sasa ivi mpango mzima.
mkizungushwa maneno.....mkipewa haraka maneno!!!!!!!!
hivi mnatakaje??????????
mkuu pokea zawadi,umeifanya jioni na usiku kuwa mzuri kwangu!mwaaa....Akikuambia anakuchunguza muulize mama wewe ni takukuru......