Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
dah! ongelea experience yako, ulisha wahi kumuweka reserve mtu huku ukigegedwa na mwingine?
kwanini niongee kitu nisichokijua? teh akili kumkichwa......!!!!!
nshawahi kuwa na bf akawa anajifanya hapendi ku do(najua alikuwa anajishaua tu ni muhuni wa kichini chini)
kazi yake kuninunulia maua(sijui mie nyuki), na kadi .....
nikawa napokea tu huku nakula zangu vichwa pembeni, ye namuangalia tu inapita hata miezi sita hajauona.....