Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Last edited by a moderator:
tehe tehe, naona aibu mbona kila nikitaka kusema! Lol!
....mi mwenyewe naona aibu kusikiliza ila najikaza tu!!!!!
haya nawe jikaze ongea teh!
msitupe kabisa!!!!!!!!!mkizungushwa maneno.....mkipewa haraka maneno!!!!!!!!
hivi mnatakaje??????????
mkizungushwa maneno.....mkipewa haraka maneno!!!!!!!!
hivi mnatakaje??????????
msitupe kabisa!!!!!!!!!
umenena my dia sijui wenzetu wanatakaje? Au wanataka nasisi tuanze kuwasaundisha kiumeume?
mmmh au na nyie mnatakaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!Thubuuuuuutuuuuuu!!!!!!!!
mmmh au na nyie mnatakaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
kuna katabia siku hizi unakutana na demu na siku hiyo upata penzi.je ni kwenda na wakati au urahisi wa dada zetu.coz anayetongoza ni mwanaume.
Siku hizi baadhi ya vijana wengi hawana subira kwa sababu: Mosi hawana upendo ila wana matamanio, pili ugumu wa maisha unawafanya baadhi ya dada zetu kujirahisi. Mnakutana leo na leo leo mnamalizana!
Kwa kifupi hakuna mapenzi ila tamaa tu hapo.
Hapa naona issue ni ratio ya watongozaji na watongozwaji, wewe ukuleta mizinguo watu wanasonga mbele kwani uko peke yako?
mkizungushwa maneno.....mkipewa haraka maneno!!!!!!!!
hivi mnatakaje??????????