Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,380
- 88,736
Usicheke. Siku utasikia na wewe umeliwa na mtu utabaki na wewe unashangaa umeliwa wapiHahahaaa!!!
Usicheke. Siku utasikia na wewe umeliwa na mtu utabaki na wewe unashangaa umeliwa wapiHahahaaa!!!
Wanatoshana wenyewe.Umesemaaaa? Haki akili zao zinalingana ndo maana wanajazana ujinga sana
Basi na mimi nataka, ila uandae heinken za kutosha.
Jamani niko naumwa ndio mana nakunywa soda
Afadhali sio yule ambae nikiona kacoment kamoyo kanaruka paaap!!!A ndo herufi yake ya mwisho.
Nitamroga arudie tu hata mara moja.anakwambia akirudia juwa ni bahati ya mtende kwahiyo mzigua ni bahati yake
Kwani wewe ndio myuesiei?





. Unakua kama humjui myuesiei sukari yao humuWenzio wanazo wanatupiga wanapotukula eti.Hamna picha ya papuchi bwana. Labda yangu ndo iwe ya kwanza
Kwa hizi sura za baba zetu akianza ubaguzi hata kwa msaada wa heinken hatukuliAkibagua hawali na nyie. Mi mwenyewe bila msaada wa Heineken angenikimbia lodge
Umnywe supuUnakuwa unamtamani ili umfanyie nini?
![]()
Inasikitisha sanaHalafu wanaenda jaza hasira zao na wengine wale wengine nao kwa akili zao fupi wanaamini![]()
Polee shem..Jamani niko naumwa ndio mana nakunywa soda
Mi nilibahatika shooAnarudia, mbona kwa mzigua karudia mara tatu. Nami nitataka tena.
Ni makabichi yale. Kuna level flani mtu ukifikia hata na kuwaza kwako kunabadilika. Sasa ukiona mtu habadiliki ndo makabichi hayokajaza makabichi
Auntie wako kama wanne hivi washanitukana humu bila jata sababu, unastukia tu mtu kakuquote anakuporomoshea matusi sijui ndio stress!! Akiwemo na yule wa mkoani tulosema mtusaidie mumchukue wa dar.Hahaha auntie nahisi hujawahi kukutana nao hao