Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Heineken..Na mkulane tu jamani
Heineken..Na mkulane tu jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanakutukana hasiraSasa wanakutakana kisaa!! Hahahaaaaa haya mambo raha jamani!!
Hahahaaaa!! Auntie ai usingejua matumizi yake!Khaaa auntie nakosaje papuchi mm mbona ningeandamana mpaka juu kwa malaika
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nakupenda [emoji8][emoji8][emoji173]
Mi sijuti ila kila siku nashangaa tabia za watu. Kuna tabia bila kuwa humu nisingejua zipo. Na nilivyo tomaso sasa. Ningeambiwa na mtu ningebisha. Ila najionea nabaki hivi huyu ana akili kichwani au kajaza makabichiYaani sijawahi kujutia kuifahamu jf aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] myuesiei usianze ubaguzi ngoja utumalize sisi kwanza tunataka tukuje utukule ukimalizana na sisi ndio uanze ubaguzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayo matusi kuna cha matusi akikuona tu ndio matusi yakeHahahaaaaa!! Mzigua mwizi mzoefu.
Bila zile kuna sehemu asingekula [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zimpe ujasiri
Hahahaaa!!!Wapo majini. Wanakula watu halafu kuna wanajimu ukishaliwa tu wanajua [emoji23][emoji23]
Hazijifichi kabisa we muhusika lazima ujue tu kama unanukaHarufu za hiyo midomo miwili hazijifichagi
Sababu ilikuwa ni nini?I did ndio
Watanikosesha mchumba hawa na upuuzi wao [emoji23][emoji23]Hata mtu mstaarabu hata km amevutiwa anakaa pembeni
Kwani wewe ndio myuesiei?Maajabu ya mwaka haya!
Walioliwa wanatangaza kuwa nimewala ambao bado sijawala!
Indeed, now I really believe that if you ain’t got haters you ain’t poppin’.
Rock on Mama Li. You are class personified.
Aliniambia foleni kubwa nisubiri kidogoHahaa!na ukapewa pia
Ndio mana nakupenda auntieAuntie kwa hili sikutupi ndugu yangu.
Pale katii patamuAlafu kalivyo katamu eti ni dhambi!! Sijui kwanini tu tunaonewa hivi!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaa. Ndo maana mi nachekega tu mtu akiongea vitu anavyoviwaza yeye. cha ajabu alieliwa ndo anatangaza flani kaliwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii dhambi hata kuitubu wakati mwingine nafsi inakusuta maana ukitoka hapo ndiko unakoelekea.
Ile ya Easter bwanaaMh picha ipiii hiyo tena mbona sijaimanya na muhanga gani huyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hamna mzembe uwanjaniUmesahau kuwa wote wanajua kuperform!!!