Mapenzi ni nini jamani?

Mapenzi ni nini jamani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hatutajutia hata akitukula na kutuacha jamani mana myueseiei sidhani kama anarudia mara ya pili kukukula

Nikikurudia jihesabu una bahati ya mtende teh teh.

Anywho, I’m outta here.

Acha waendelee kufurahisha nafsi.
 
Wadau hivi tafsiri sahihi ya mapenzi haswa ni nini?

Wanasema mapenzi yanarun dunia ni kweli?
Kwa nini ukimpenda mtu unamtamani muda wote?

Hivi kwa nini mwingine anaua au kuuwawa kisa mapenzi?

Kwa nini wengine wanaona wengine wanaachana?
Hivi kwa nini baadhi hujinyonga eti kisa mapenzi!?

Mapenzi yanaishi au hupatikana wapi?moyoni,machoni,akilini au mwilini?

Kwa nini wapo husema mapenzi pesa wengine husema mapenzi akili?

Hivi haya ni kitu gani?
Mapenzi ya DHATI ni yapi?

Jamani kwa nini wengine wanapendwa wasipopendwa?huku wengine wanapendana wote?

Hivi unaweza kumdhuru au kumsaliti unayempenda kwa dhati?

Unaweza penda mume au mke wa mtu?
Unawezaje penda mtu usiemfahamu?

Aiseee!mapenzi jamani!

[emoji115]Unakuwa unamtamani ili umfanyie nini?[emoji53][emoji53]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hatutajutia hata akitukula na kutuacha jamani mana myueseiei sidhani kama anarudia mara ya pili kukukula
Anarudia, mbona kwa mzigua karudia mara tatu. Nami nitataka tena.
 
Niliogopa kuomba maana naweza shangaa nimetumiwa yangu nikaangusha katecno kangu nikaingia hasara.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi sijuti ila kila siku nashangaa tabia za watu. Kuna tabia bila kuwa humu nisingejua zipo. Na nilivyo tomaso sasa. Ningeambiwa na mtu ningebisha. Ila najionea nabaki hivi huyu ana akili kichwani au kajaza makabichi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kajaza makabichi
 
Back
Top Bottom