Mapenzi ni nini jamani?

Mapenzi ni nini jamani?

Maajabu ya mwaka haya!

Walioliwa wanatangaza kuwa nimewala ambao bado sijawala!

Indeed, now I really believe that if you ain’t got haters you ain’t poppin’.

Rock on Mama Li. You are class personified.

Achana nao kipenzi. Mi naomba tena rematch kwanza halafu urudi na ile dawa ya mdomo ulinambia utanletea
 
Mi sijuti ila kila siku nashangaa tabia za watu. Kuna tabia bila kuwa humu nisingejua zipo. Na nilivyo tomaso sasa. Ningeambiwa na mtu ningebisha. Ila najionea nabaki hivi huyu ana akili kichwani au kajaza makabichi
Hahahaaaaa!! Eti kabichi.
 
Back
Top Bottom