Yaani kama sitaki alafu nataka hata sielewi.Utadata kama mimi shauri ako
Hamna zaidi yako humu [emoji23][emoji23]Ni nani sasa kama siyo mimi? Kuna mwingine aliyemla Mzigua zaidi yangu? Teh teh
Eeeh [emoji23][emoji23]Ooooh na yule jamaa mfupi
Thanks shem [emoji120]Polee shem..
Wish you a quick recover in-law
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni makabichi yale. Kuna level flani mtu ukifikia hata na kuwaza kwako kunabadilika. Sasa ukiona mtu habadiliki ndo makabichi hayo
Hahahaaa!! Mkwe mimi sijakuona kwakweli.Si unajua mimi sinaga unafiki...
Nakusalimia tuu km heshima kwa mkwe
Wanajifurahisha tu ujueHao wa matusi wako wengi, wanaumiaga na sisi kama wametuzaa.
Hamna zaidi yako humu [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeeh [emoji23][emoji23]
Nisikie mara ngapi sasa, nimeliwa na wengi humu acha tu.Usicheke. Siku utasikia na wewe umeliwa na mtu utabaki na wewe unashangaa umeliwa wapi
Basi auntie kweli umekutana nayo sisi tumeshajizoelea ni makahaba na kujiuza mwanzo mwisho ndio tunavyoambiwaAuntie wako kama wanne hivi washanitukana humu bila jata sababu, unastukia tu mtu kakuquote anakuporomoshea matusi sijui ndio stress!! Akiwemo na yule wa mkoani tulosema mtusaidie mumchukue wa dar.
Ewalaaaaa! Si bahati hii! Ubebe na kadegree kabisa ili hali ya hewa iwe shwari.Usiwe na shaka. Ntakufungia safari nije ulipo. Sawa I...?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nisikie mara ngapi sasa, nimeliwa na wengi humu acha tu.
Hahahaaa!! Yaani kumuomba ni dhambi ujue, kwanza hata kumquote naogopa.Hahahaaa!jamani huyo hata mia humuombi
We nawe hujui najishebedua kidogo kumvuta vuta.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Unakua kama humjui myuesiei sukari yao humu
Nyota iliniwakia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anakwambia akirudia juwa ni bahati ya mtende kwahiyo mzigua ni bahati yake