KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,291
Eti kwenye hsrusi wao kutoa saa ya buku 3 na tuviatu twa elfu 70, wanaona ndo zawadi ya wewe kumchangua kati ya mamilioni ya wanawake.Hela ya mwanamke ni ya kuogopwa sana, unaweza mpa mwanamke wako 100k then baadae kdgo mkapata changamoto mfano luku ikaisha ukamuomba akupe elfu 5 kwenye hela uliyompa ili utatue hiyo changamoto(mfukoni huna kitu una nauli ya kuendea kwenye mishe zako tu). Atakupa lakini ndani itamuuma sana nasema ivi kwa experience mkuu hela ya Ke ni chungu mno ndio maana hata wengi zawadi zao kwa wanaume wao ni vitu vidogo dogo tutusoksi twa buku.
