Ni maamuzi gani ya ajabu uliyowahi kuyafanya sababu ya mapenzi?

Analyse

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
16,252
41,009
Huwa napataga ukakasi sana kuandika about my love life. Na hii inatokana na ukweli kwamba, kwenye mahusiano furaha uwaga tunaiforce sana, nguvu inayotumika ni kubwa ili kuhakikisha tunamaintain furaha, Ila katika uhalisia disappointment ni nyingi Sana.

Any way, tuachane na ilo, turudi kwenye mada. Kati ya vitu ambavyo vinaongoza kwa kuzika ndoto za watu wengi Sana basi ni mapenzi. Linapokuja swala la mapenzi, tunakuwaga na ujasiri na uthubutu wa hali ya juu sana tofauti na kwenye mambo mengine ya kimaendeleo. Binafsi kama isingekuwa mapenzi ningekua mbali sana kiuchumi tofauti na nilivyo sasa. Kwa nyakati tofauti mapenzi yamekua yakinifanya niwe na maamuzi ya kijinga Sana ambayo yamenigharimu muda, nguvu, na hela, huku yakiniachia majuto ya muda mrefu baadae.

1. Na life langu la kuunga unga ili ili, nilibahatika kuunganishwa sehemu nikapige kazi. Ile sehemu kama ningeenda, ingekuwa chanzo kikubwa sana cha kunipatia connection na kipato ambacho kingenifungulia mambo mengi. Hiyo sehemu niliyotakiwa kwenda ilikuwa ni mkoa wa mbali kabisa na nilipokuwa kwa kipindi hicho. Wakati naweka mambo yangu sawa ili niende, demu niliyekuwa nae akaanza kulia akisema nikiondoka sitomkumbuka, maana kule ni mbali, pia plans zetu zitakufa nk.

Akasema kama vipi nitafute michongo ya mle mle mkoani. Nikapiga hesabu, nikaona sio kesi, nimesurvive Sana, nitasurvive tena. Nikapiga chini ule mchongo nikabaki kuendelea harakati za kuunga unga na kufukizia michongo ya pale pale. Miezi 6 baadae, demu akarudi kwa bwana wake wazamani, tena kwa kebehi na jeuri.

Mwezi uliopita namba ngeni ikanitafuta, katika kuchat ndo najua ni yeye, anasema ananipa Hi tu. Ukweli ni kwamba bwana ake ametia mimba na kuchumbia sehemu, so yeye kapigwa chini.

2. Nina best yangu mmoja wa kike, aliambiwa na mume wake aache kazi then atafunguliwa biashara asimamie. Mwezi mmoja baada ya kuacha kazi, kulitokea migogoro kwenye ndoa yao, wakaacha na mumewe, biashara zote akaporwa. Now ndo anaanza upya kujikongoja. Anajilaumu Sana kuacha ile kazi aliyokuwa anafanya.

3. Nina mshikaji alijenga kwenye kiwanja cha mkewe huko mkoani. Nyumba waliyojenga ni ya maana. Makubaliano ni kwamba kwenye hati yawekwe majina ya watoto wao. Mke akawa anafatilia mchakato wote mpaka mwisho. Jamaa kuna siku anapekua pekua ndani,anakuta kopi ya hati Ina majina ya mkewe. Kuuliza, ikawa ugomvi. At the end waliachana, maana walikuwa na migogoro mingine pia. Sasa hivi jamaa kapanga, mke anaishi kwenye nyumba.

At the moment of love, Kuna maamuzi yanafanywa kirahisi Ila yanaimpact kubwa sana huko mbeleni. Japo wanasema "What goes around, becomes around" Ila mpaka Karma ifanye yake, wewe huku unakuwa unapitia majuto makubwa Sana,mengine hayasahauliki kabisa. Kwa upande wa watu wangu wa karibu, mifano ni mingi Sana.

Kwa upande wenu, mapenzi kama mapenzi,ni hasara gani yamewapa? Ni uhamuzi gani uliufanya ukiwa penzini na unaujutia mpaka Leo?

IMG_20220113_221351.jpg
 
Nilisha wahi mfuata mtu Zanzibar ambaye ni katoka Oman sababu nimemuona kwenye chatroom tume chat muda zaidi ya miaka miwili , hakuwahi niona hata picha ila mimi nime chat naye live kwnye webcam nikimdanganya cam yangu mbovu, hivyo akupata nafasi ya kuniona hata kwa picha, alipo rudi Znz, tukapanga tuonane, nikapanda boat haraka kwenda Znz na mimi kutofikiria nika lipa $150 hoteli, nime fika nampigia simu ana shanga na kuuliza hivi umekuja kweli?

Sababu hakuegemea mtu hadi kuja huko kwao, halafu akaniamba oohl eo kuna dharula sitoweza kuja, nika subiri baadae nimepigia akawa hapokei piga simu mwisho ika wa haipatikani , nikakasiika, siku lala hapo nika endastraight bandarini nikapanda boat nika rudi Dar, huwa nina juliza nilikuwa nafikiria nini haswa, ila mhusika ni rafiki yanu hadi leo ingawa hatujaonana tena.
 
Nilisha wahi mfuata mtu Zanzibar ambaye ni katoka Oman sababu nimemuona kwenye chatroom tume chat muda zaidi ya miaka miwili , hakuwahi niona hata picha ila mimi nime chat naye live kwnye webcam nikimdanganya cam yangu mbovu ,hivyo akupata nafasi ya kuniona hata kwa picha ,alipo rudi Znz, tukapanga tuonane, nikapanda boat haraka kwenda Znz na mimi kutofikiria nika lipa $150 hoteli , nime fika nampigia simu ana shanga na kuuliza hivi umekuja kweli ? sababu hakuegemea mtu hadi kuja huko kwao , halafu akaniamba oohl eo kuna dharula sitoweza kuja , nika subiri baadae nimepigia akawa hapokei piga simu mwisho ika wa haipatikani , nikakasiika, siku lala hapo nika endastraight bandarini nikapanda boat nika rudi Dar, huwa nina juliza nilikuwa nafikiria nini haswa, ila mhusika ni rafiki yanu hadi leo ingawa hatujaonana tena .
Mkuu ngozi ya kiarabu ilikupa mizuka. Anyway, atleast $150 zitakuwa zisharudi tu
 
Aise sitasahau siku namgegeda mrembo mmoja basi ile karibia nashusha wadhungu sii akaniambia cum in my mouth...mie huyo nikashusha mzigo wote mrembo akapokea...eeh cha ajabu katika ile furaha sii ninakpiga demu denda akiwa na wadhungu mdomoni....kiufipi nikwamba nilimeza wadhungu wangu mwenyewe
 
Kuna jamaa huko kwetu vijijini alikuwa na mkeo wake sijui mke alimweka msukule au Nini,Yaani bibie alimshawishi jamaa akauza shamba lake loote,Yaani walikuwa wanauza kdgo kdgo Hadi wakamaliza ekari nne zote,na Wala hawakuwahi fanyia hizo pesa kitu Cha maana walikuwa wanakula Bata tu na kuzunguka mijini
Leo hii jamaa Yuko mjini anafanya kazi za ujenzi.Mke alishamkimbia
 
Aise sitasahau siku namgegeda mrembo mmoja basi ile karibia nashusha wadhungu sii akaniambia cum in my mouth...mie huyo nikashusha mzigo wote mrembo akapokea...eeh cha ajabu katika ile furaha sii ninakpiga demu akiwa na wadhungu mdomoni....kiufipi nikwamba nilimeza wadhungu wangu mwenyewe
Dah 👀 hukutapka kwel mkuu? Tupe mrejesho ilikuwaje
 
Aise sitasahau siku namgegeda mrembo mmoja basi ile karibia nashusha wadhungu sii akaniambia cum in my mouth...mie huyo nikashusha mzigo wote mrembo akapokea...eeh cha ajabu katika ile furaha sii ninakpiga demu akiwa na wadhungu mdomoni....kiufipi nikwamba nilimeza wadhungu wangu mwenyewe
 
Back
Top Bottom