Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Tumekuwa tukiona mahusiano ya aina tofauti tofauti ila common yakiwa yale ambayo mwanaume wana economic muscles ila kutokana na mabadiliko ya tabia nchi sikuhizi pia kumejitokeza mahusiano mengi ambayo wanawake wana financial muscles hali iliopelekea mahusiano ambayo mke anakuwa anaziba gap kubwa kiuchumi hali ambayo imekuwa inachukuliwa in a very negative way.

Mwanamke anayespend hela kwa mume au mpenzi wake kwa roho safi its obvious anampenda kwa dhati...japo anaweza kuwa na madhaifu mengine ila kwenye huba yuko legit by 100%. She really loves and wants her man to feel great about it. Kila mtu anajua pesa ni kama spice katika mapenzi hunogesha na kuleta furaha zaidi thats why mtu haoni tabu kutumia pesa zake na mtu ampendae.

Tabu iko kwetu sie ambao tunafosi mapenzi kwa malaya wanaoishia kutuchapa invoice kwa foleni. Wengi tunaishiaga kuponda tu kama kawaida yetu na kuwaita watu Marioo ila ukweli ni kwamba wapo wanaotamani hio bahati ya kupata penzi la dhati ila huwatokea ME wachache. The same goes to wadangaji wanaoponda na kushangaa wanawake wenzao wanawapaje hela wanaume zao bila kujua kuwa roho za kimaskini na kukosa access na hela ndio mtihani walio nao.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kitu najiulizaga kama mapenzi ni ya wawili and involves 2 way traffic iweje mwanaume kumpa hela mwanamke iwe halali ila mke kumpa mume hela iwe kosa? Justify!
Tulio like wote
Me:Tunapewa pesa na wanawake zetu.
Me:Wanawapa pesa waume zao.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sababu kuu ni kwamba, mwanamume ameumbwa kutoa na siyo kupokea; meanwhile mwanamke ameumbwa kupokea na si kutoa. Hili likifanyika kinyume lazima matatizo yatokee.
Logically, ukifanya kitu kimoja kwa muda huwa kinaleta boredom. Hapa ndio wakutafta haki wanaibukaga na watafta usawa wanaibukaga.
 
Yani 24/7 wewe ni shida za hela tu halafu hamna siku umejiongeza hata kutoa bakshishi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unahitaji maombi...Basi usinipe ila siku nikitaitika nipe shavu...Apo napo unaleta mkono wa birika??Hapo unakula nyeku tu.
hamna hata kwa hustler inawezekana sana tu
 
Yani 24/7 wewe ni shida za hela tu halafu hamna siku umejiongeza hata kutoa bakshishi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unahitaji maombi...Basi usinipe ila siku nikitaitika nipe shavu...Apo napo unaleta mkono wa birika??Hapo unakula nyeku tu.
sasa hizi ni mada mbili tofauti, mimi nasema ya kupewa sio ya kuomba, kuomba pesa hilo ni kosa,itafikia hatua inachosha na kukera
 
Heheheh tuboksa twa buku3 na tuvesti bila kusahau tusoxi twa buku! Hapo wewe umetoka kupewa iPhone ya Mil.3.5 hapo ukapokea bila chembe ya aibu.
Asa tuwe tunawanunulia nini zaidi ya engraved wallets na key holders zenye maandishi πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimekusoma nakukuelewa sana mleta mada!! Hii issue ya dada zetu kuwa ivyo walivyo nafikiri ni ubinafsi na kutokupenda ukiona mwanamke hawezi kutumia pesa yake akiwa na wewe au kukupa lakini wewe unaweza kumpa na akafurahi na yeye kazi anafanya!!! Basi jua kuna sehemu anatoa kiulaini sana brother... Maana kama hawezi kutumia na wewe mpenzi wake jiulize anatumia na nani na anafanyia nini izo pesa?
 
naongeza sauti kidogo, ela ya mwanamke ni ya kwake ila ya mwanaume ni ya wote
Hayo ni maneno tu ya kufanya wanaume wajitambue na kuwa responsible kuacha kutegemea pesa ya mwanamke...... But in reality mnapokuwa pamoja chochote kinachopatikana mnashare
 
Hapa ndio wanaume wanafilisika, na umasikini kwa % kubwa huanzia hapa, mwanamke lazima atoe budget ya familia kama ameolea na wajadili kama hio budget inawezekana ( hapa wanawake hawataki kabisa kutoa budget kwani ndio sehemu wanaibia, mwanaume akifuatilia matumizi basi wanawake wazidisha matumizi kwa kutumia vitu rafu na kuharibu ili ionekane matumizi ni makubwa), kama ni friends lazima kila mtu abebe gharama zake za maisha yake na yeyote mwenye kuhitaji msaada aombe na isiwe ni mazoea ( hawa wanawake watesema hawapendwi au mwanaume hana pesa au bahili na watakimbia) % kubwa ya wanaume wanauwezo wa kufanikiwa kipesa kama ataweza kuwakwepa hawa predators
Sio predators ni leech(luba)
 
Back
Top Bottom