Very Happy what? Kamdhalilisha Mwanaume wake.Mm niliwahi kuwa out na jamaa angu wako na mkewe .walikuwa wanasimuliana stor hizo kwa uwazi mke wa jamaa alisema nikisikia kuwa ashapita na watu si chini ya 50 toka chuo hadi kukutana na jamaa .namshkaj alikuwa anawajua kama wa 5 hivi.na wana watoto 3 and very happy catholic couple
Kwani hujalisema?Kwahyo umeona ni hilo tu Mkuu?
HAYA BHANA, ILA NAAMINI UKITULIZA AKILI UTAELEWA NI NINI NIMEKIANDIKA HAPO.
Ndoa ni kama nchi za dunia .mfano kama yako ni Sweden hutakaa uelewe burundi inaendeshwaje na wanaendel3a sherehekea uhuru kila mwakaVery Happy what? Kamdhalilisha Mwanaume wake.
Wanaume wenye akili wanaoa kwa kuangalia past ya mwanamke na sio vyenginevyo. Jamaa yako kama kaoa hilo kulumbembe basi kajibebesha mabomu ambayo anytime yanalipuka [emoji378]
Kwenye Jamii iliyoharibika hilo ni jambo la kawaida, ila kwenye jamii iliyostaarabika hilo ni jambo gumu kutokea.Huyo Dada ameweka wazi ila tukirudi kwenye jamii zetu MTU kavunja ungo miak12 halafu ana miaka 32 bado hajaolewa unakuta kashagonoka hata na wanaume 40.
Upo sahihi Mkuu.Mim simtetei uyo dada wala kuwa ongelea wanawake wangine lkn uyo ni Malaya Ona anajua Hadi threesome sasa hio ni yeye lkn mm i am telling you nime wahi anza mahusiano na dada mmoja ni mzuri asilia She alikua na 24yrs na alikua hajawah kabsa
kwaio wanawake hawapo sawa ila uki zoea kudate na kusikia habari za hao walioshindwa kuwa na mahusiano huwez muamin dem maaana kila unaye muona unahis ana kiumalaya hio inafanya vvijana mushindw hata kutongoza sikuiz
Shida wewe hujiwekei kipimo halafu unategemea hao wengine wa kike wawe na kipimo.Shida hapo n nn
Sijui kiundani (Uislamu), ila nimesoma mahali kuwa sheria zao zinatunza jamii iwe bora.Wanafurahia vipi wakati upande mmoja wanalazimishwa kuishi kitumwa kwenye ndoa..
Sawasawa 👍Acha kujidanganya.
Muulize Gynocologist yeyote atakueleza ukweli.
Hakuna mwanamke anaefika miaka 29 akiwa hamjui mwanaume.
Wapo Wanawake wanamjua Mungu wanaweza kujitunza sana. Ila kuna umri unafika uvumilivu unawashinda.
Nyege ni basic need. Kama tumbo kusikia njaa vile.
Mtu hawezi vumilia njaa muda mrefu. Ndio hivyo hawezi vumilia nyege kuanzia anavunja ungo ana miaka 12 mpaka kufikia 29 bado amekaza tu.
Wanawake wanaojitunza huwa wanamudu wakibahatika kuolewa mapema. Miaka 23 mpaka 25 awe ameshaolewa.. ila bila ya hivo..uvumilivu utamshinda tu
Nakubali huwezi kuoa tu bila kuangalia background ila swala la jamii kubadilika sahau. Sababu zipo nyingi, kwanza siku hizi wadada hawajitunzi tena kisa aje kuolewa, wanajiachia tu sababu wana mifano hai ya dada zao waliojitunza hadi kwenye ndoa bado ndoa zikavunjika pia waliojitunza bado hawajaolewa, na kuna malaya waliokubuhu wanaoelewa ndoa takatifu. In short hakuna formula. Kikubwa enjoy maisha ukipata mnayeendana usichunguze sana anzia hapo mlipo. Hapa sote tunajadili wachumba wa kike, umeshajiuliza wanaoelewa na nani!?,huoni kizazi cha waoaji nacho ni kichefuchefu!?,anayemchunguza mwanamke yeye background yake ikoje!?,...Upo sahihi, lakini kuchunguzana ni jambo muhimu sana kabla ya kuoana.
Watu wakiwa wana utaratibu wa kuchunguzana na kuwaacha wenye background mbaya, basi jamii itabadilika kitabia.
Talaka ni jambo la kawaida Mkuu, mtu anapokosea na ukaona huwezi kwenda nae mbali kwenye ndoa ni sahihi kumpa Divorce.Hajui wanaongoza kwa talaka duniani
Mkuu mm na ndo maana sitagi kuoa kwa sababu ya huu usengNdiyo maana mapenzi huwa siyafagilii kabisa
Tatizo wanalitengeneza wenyewe kwa kujiona vidume marijali, halafu wanalilalamikia.Hiyo statistic ya mwenza alilala na wanaume wangapi sio rahisi kuipata kwa uhakika na kwa kweli haisaidii sana katika mahusiano, sana itakupa stress isiyo ya lazima. Kila uhusiano ni unique na kama mmeridhiana kukaa pamoja endeleeni tu na muwache "pasts" zenu huko huko.
Mkuu sema na wewe.Nakubali huwezi kuoa tu bila kuangalia background ila swala la jamii kubadilika sahau. Sababu zipo nyingi, kwanza siku hizi wadada hawajitunzi tena kisa aje kuolewa, wanajiachia tu sababu wana mifano hai ya dada zao waliojitunza hadi kwenye ndoa bado ndoa zikavunjika pia waliojitunza bado hawajaolewa, na kuna malaya waliokubuhu wanaoelewa ndoa takatifu. In short hakuna formula. Kikubwa enjoy maisha ukipata mnayeendana usichunguze sana anzia hapo mlipo. Hapa sote tunajadili wachumba wa kike, umeshajiuliza wanaoelewa na nani!?,huoni kizazi cha waoaji nacho ni kichefuchefu!?,anayemchunguza mwanamke yeye background yake ikoje!?,...
Uzi wowote ukiandikwa ni lazima uwe na main subject.Kwani hujalisema?
Unasema kitu, halafu ukubanwa utetezi wako ni "kwa hiyo umeona hilo tu mkuu?", kama hujasema vile!
Mkuu,Wanawake wengi wanaanza kulala na mwanaume kuanzia miaka 16. Hivo tukitoa 26 ya wakati wa kuolewa tunapata miaka 10.
Sasa basi ukichukua 56/10 unapata 5.6 hivyo kila mwaka alikua analala na wastani wa wanaume 5.6
Hii si kawaida ni umalaya tu.
Ambayo ni wastani wa mwamme 1 kwa miezi 2 ni wastani mzuri tu.Wanawake wengi wanaanza kulala na mwanaume kuanzia miaka 16. Hivo tukitoa 26 ya wakati wa kuolewa tunapata miaka 10.
Sasa basi ukichukua 56/10 unapata 5.6 hivyo kila mwaka alikua analala na wastani wa wanaume 5.6
Hii si kawaida ni umalaya tu.
Sasa nachunguz huyo anaegongwa ataolewa na nani? Acha ushamba hata uliyenae bikra hujamtoa wewe? Mwanamke ambae alishatolewa bikra na mtu mwingine jua kwamba yuko kwako kimaslahi, nani anataka shidaaa, wewe umetembea na watu wa ngapi? Kama ndio hivyo kila mtu amfuatilie mwenzakeKwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na hii anonymous confession ya Mwanamke anaesema kuwa kaolewa akiwa na miaka 20's lakini kashakutana kimwili na wanaume zaidi ya 50.
View attachment 2828437
Huyo bidada anasema kuwa hiyo ni normal kabisa, yani ni kawaida kwa Mwanamke kukutana kimwili na wanaume idadi hiyo au zaidi.
Huyo Mwanamke ameshaweka hiyo siri kwenye maisha yake na Mwanaume hajui, na unaweza kukuta jamaa kagharamika kwelikweli kutoa mahali kubwa n.k kumbe Mwanamke aliemuweka ndani ni Malaya aliekubuhu.
USHAURI
Wanaume tusisahua jukumu letu la kuchunguza wenza wetu kabla ya ndoa, maana matatizo mengi yanatokea kwenye ndoa kwasababu ya kupuuzia KUCHUNGUZANA.