Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 14,563
- 22,837
Na Confession yake haiwezi kuwa ya woteLakini pia usibebe kila jambo unalokutana nalohiyo ni confession yake, kila mtu ana dhambi zake kujumuisha mambo ni kulaghai umma
Na Confession yake haiwezi kuwa ya woteLakini pia usibebe kila jambo unalokutana nalohiyo ni confession yake, kila mtu ana dhambi zake kujumuisha mambo ni kulaghai umma
Hehehe!bado wapo wanawake waaminifu kabisa 29yrs bado hamjui mwanaume, wapo kabisa, ni vile tu haujakutana nao
Kwa jamii ya sasa na maendeleo haswa kukua kwa elimu hili haliepukiki.Unamchunguzaje mtu ambaye mmekutana chuoni ama kazini ama kanisani ?
Mtu kwao mbeya. Wewe kwenu Mbagala.
Shule kasoma Dodoma wewe umesoma Arusha.
Baba yake mwenyewe ama mama yake hawezi kumjua binti yake katembea na wangapi ama nani na nani. Sembuse wewe mnaekutana ana miaka 25 ndio uanze kumchunguza mtu aliyevunja ungo miaka 13 iliyopita
Halafu eti anakuka mti anakuambia oa ndio molango ya baraka itafunvuka..Milango ya baraka itagunguka wakati umeoa jitu limebeba ma nuksi na mapepo ya wanaume kibao...Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na hii anonymous confession ya Mwanamke anaesema kuwa kaolewa akiwa na miaka 20's lakini kashakutana kimwili na wanaume zaidi ya 50.
View attachment 2828437
Huyo bidada anasema kuwa hiyo ni normal kabisa, yani ni kawaida kwa Mwanamke kukutana kimwili na wanaume idadi hiyo au zaidi.
Huyo Mwanamke ameshaweka hiyo siri kwenye maisha yake na Mwanaume hajui, na unaweza kukuta jamaa kagharamika kwelikweli kutoa mahali kubwa n.k kumbe Mwanamke aliemuweka ndani ni Malaya aliekubuhu.
USHAURI
Wanaume tusisahua jukumu letu la kuchunguza wenza wetu kabla ya ndoa, maana matatizo mengi yanatokea kwenye ndoa kwasababu ya kupuuzia KUCHUNGUZANA.
Kwa hivyo wewe tatizo lako mahari, ukiondolewa mahari utakuwa poa na hiyo "body count"?Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na hii anonymous confession ya Mwanamke anaesema kuwa kaolewa akiwa na miaka 20's lakini kashakutana kimwili na wanaume zaidi ya 50.
View attachment 2828437
Huyo bidada anasema kuwa hiyo ni normal kabisa, yani ni kawaida kwa Mwanamke kukutana kimwili na wanaume idadi hiyo au zaidi.
Huyo Mwanamke ameshaweka hiyo siri kwenye maisha yake na Mwanaume hajui, na unaweza kukuta jamaa kagharamika kwelikweli kutoa mahali kubwa n.k kumbe Mwanamke aliemuweka ndani ni Malaya aliekubuhu.
USHAURI
Wanaume tusisahua jukumu letu la kuchunguza wenza wetu kabla ya ndoa, maana matatizo mengi yanatokea kwenye ndoa kwasababu ya kupuuzia KUCHUNGUZANA.
Kabisa Mkuu, ndio maana nimemalizia kwa kutoa ushauri "Vijana wachunguzane tabia kabla ya kuoana"Ni kwa malaya tu, tusisemee wanawake wote, bado wapo wanawake waaminifu kabisa 29yrs bado hamjui mwanaume, wapo kabisa, ni vile tu haujakutana nao, wapo wanawake ambao hata kusimama na mwanaume kwao Ni dhambi achilia kutongozwa, huyo aliyekonfesi kwakwe ndio nomo kulala na wanaume hamsini si kwa wanawake wote
Unapowaza upambane pia kumchunguza na kuchagua mwenza mwema.Pia wapo wanawake waaminifu sana wenye hofu ya Mungu tunachoweka akilini ndicho kinachokukuta, mfano ukiwaz ipo siku utakutana na mwanamke mwaminifu basi itakua, ila ukiweka mawazo ya kuwa sitakuja kukutana na mwanamke mwamininfu itakua hivyo maishani mwako na utafurahi mahusiano, so mjaribu kuwaza mitazamo chanya
Mkuu,Ila tuache utani hz pisi zilizopita chuoni hz tunashhare sana na zenyewe wala hazina shida, ila fifte🤔🤔
Me mwenyewe naanza kuachana nayo taratiiiibuNdiyo maana mapenzi huwa siyafagilii kabisa
Uaminifu huendana na tabia za nyuma.Na kasemea kabisa lakini kuwa mume wake hajui historia yake kuwa ameshalala na wanaume zaidi ya 50 kwahiyo hiyo ilikua kabla hajaingia kwenye ndoa na commitments, siajabu yupo kwenye ndoa na ametulia na ndiyo maana katoa confess ya namna hiyo, i still believe wapo wanawake wa kuoa na ni waaminifu
kila mtu ahangaike na dhambi zake hahahahhahahahaLakini pia usibebe kila jambo unalokutana nalohiyo ni confession yake, kila mtu ana dhambi zake kujumuisha mambo ni kulaghai umma
Upo sahihi, lakini kuchunguzana ni jambo muhimu sana kabla ya kuoana.Mkuu naona unahangaika kutetea wanawake, oa at your own risk. Ila kusema sijui wapo waaminifu sijui sio wote unajidanganya. Kwenye huu ulimwengu wa smartphone na bodaboda vitoto vinaanza ngono vipo darasa la 5, vikija kufika form 4 vimekubuhu, akifikisha miaka 20 kashalala na watu wazima wa over 40 au 50. Huko makanisani kwenye kwaya ndo balaa. Kuna demu ni mpole muimba kwaya na mvaa vitenge, nilikuwa namuona mtu aliyetulia, siku moja akaniambia alipojua mapenzi akiwa sekondari alikuwa anapenda ngono sana mtu akimtongoza anamlala hata siku hiyohiyo na kashalala na wanaume kama 70 hivi, ila siku hizi kaamua kutulia, nikachoka. Uzuri hakunaga alama kwa aliyelala na wawili na aliyelala na kijiji. Na siku hizi Wana dawa zao mpaka za kurudisha bikra amini usiamini, ndo maana nikakwambia Oa at your own risk.