Mapenzi na Siri zake za ovyo

Mapenzi na Siri zake za ovyo

Unamchunguzaje mtu ambaye mmekutana chuoni ama kazini ama kanisani ?

Mtu kwao mbeya. Wewe kwenu Mbagala.

Shule kasoma Dodoma wewe umesoma Arusha.

Baba yake mwenyewe ama mama yake hawezi kumjua binti yake katembea na wangapi ama nani na nani. Sembuse wewe mnaekutana ana miaka 25 ndio uanze kumchunguza mtu aliyevunja ungo miaka 13 iliyopita
Ni uamuzi wako Mkuu.

Kama unaona kuchunguza ni Ujinga basi acha, na fanya unachoona ni sahihi kwako.

Sisi wanaume tunaojielewa tumeshatoa ushauri, kwahyo It's up to you Mkuu.
 
Acha kujidanganya.

Muulize Gynocologist yeyote atakueleza ukweli.

Hakuna mwanamke anaefika miaka 29 akiwa hamjui mwanaume.

Wapo Wanawake wanamjua Mungu wanaweza kujitunza sana. Ila kuna umri unafika uvumilivu unawashinda.

Nyege ni basic need. Kama tumbo kusikia njaa vile.

Mtu hawezi vumilia njaa muda mrefu. Ndio hivyo hawezi vumilia nyege kuanzia anavunja ungo ana miaka 12 mpaka kufikia 29 bado amekaza tu.

Wanawake wanaojitunza huwa wanamudu wakibahatika kuolewa mapema. Miaka 23 mpaka 25 awe ameshaolewa.. ila bila ya hivo..uvumilivu utamshinda tu
Inaumiza sana kuona mtu anajiona anajua zaidi kuliko hata huyo muumba aliemuumba.

Wazee wetu walioa bikra, na wanawake wa zamani walijitunza pia (BIKRA).


Usasa na kuangalia picha za ngono, ukichanganya na tamaa ndio zinafanya nyege zikupande na kuona ni jambo gumu kujitunza.

BADILIKA KIJANA.
 
Ila vitu vingine ni kujitafutia stress tu, unachunguza kalala na wangapi then??!! kama umeamua kuoa oa tu haibadilishi kitu, cha msingi tu kwenye hao aliolala nao hakuna aliyeondoka nayo hiyo kitu, sisi wazee wa hit & run hata kama amelala na 200 as long as nafasi yangu ya 201 ndio imefikiwa hakuna issue, i play my part i leave the rest
Mkipigwa na kitu kichwani ndio mnapata akili na mnakuwa wa kwanza kufungua Nyuzi (Mkijuta)

Endelea na ubishi wako kijana.
 
Hehehe!

Umetuchekesha sana Mkuu, Mimi pamoja na wana jamiiforums wengine.

Hongera pia kwa kukutana na Mabinti wa namna hiyo.
Mkuu amekuchekesha kwasababu umezungukwa na Makulumbembe (Malaya) ndio maana hauamini kuwa kuna mabinti walio wasafi.


CHUNGUZA KWANZA, ACHA UBISHI.
 
Ngono imeshakuwa jambo la kawaida, watu wanafanya Ngono bila ya kujali madhara yake kwenye jamii.
Huyo Dada ameweka wazi ila tukirudi kwenye jamii zetu MTU kavunja ungo miak12 halafu ana miaka 32 bado hajaolewa unakuta kashagonoka hata na wanaume 40.
 
Mim simtetei uyo dada wala kuwa ongelea wanawake wangine lkn uyo ni Malaya Ona anajua Hadi threesome sasa hio ni yeye lkn mm i am telling you nime wahi anza mahusiano na dada mmoja ni mzuri asilia She alikua na 24yrs na alikua hajawah kabsa
kwaio wanawake hawapo sawa ila uki zoea kudate na kusikia habari za hao walioshindwa kuwa na mahusiano huwez muamin dem maaana kila unaye muona unahis ana kiumalaya hio inafanya vvijana mushindw hata kutongoza sikuiz
 
Kwa mtindo huo wa maisha ni dhahiri kuwa nchi zenye kufuata sheria za kiislamu ndio wataendelea kufurahia matunda ya ndoa.
Wanafurahia vipi wakati upande mmoja wanalazimishwa kuishi kitumwa kwenye ndoa..
 
Kwa jamii ya sasa na naendelea haswa kukua kwa elimu hili haliepukiki.

Tukirudi nyuma kwa wazazi wetu je mbon ndoa zilidumu sana?

Hawa walikuwa wanaoana watu wa karibu kama jamii moja hususani kabila na ujirani ...Mtoto (mke) anajulikana mpaka makuzi yake na tabia zake
Tatizo la vijana wenzangu ni kwamba mnapenda ubishi.

Kama solution ni kumtafuta mtu aliekulia kwenye mazingira ya kwenu, kwanini unaona ngumu kuoa huko kwenu?

Tamaa ndio zinafanya mnajiokotea wanawake barabarani na kuwaoa bila ya kujua Background zao.
 
Halafu eti anakuka mti anakuambia oa ndio molango ya baraka itafunvuka..Milango ya baraka itagunguka wakati umeoa jitu limebeba ma nuksi na mapepo ya wanaume kibao...
Hatari sana Mkuu.

USISAHAU KUCHUNGUZA, MAANA KUNASAIDIA SANA KUEPUKA WANAWAKE WA HOVYO
 
Kwa hivyo wewe tatizo lako mahari, ukiondolewa mahari utakuwa poa na hiyo "body count"?

Wewe body count yako ni ngapi?
Kwahyo umeona ni hilo tu Mkuu?

HAYA BHANA, ILA NAAMINI UKITULIZA AKILI UTAELEWA NI NINI NIMEKIANDIKA HAPO.
 
Back
Top Bottom