Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,197
- 14,890
- Thread starter
- #81
Ni kweli Mkuu, ila haiondoi ukweli kuwa kuchunguzana kunaepusha mengi.Ndoa ni kama nchi za dunia .mfano kama yako ni Sweden hutakaa uelewe burundi inaendeshwaje na wanaendel3a sherehekea uhuru kila mwaka
Amani utaipata kwa kumjua mwenzi wako ni mtu wa aina gani FULL STOP.