Niliwahi kuhudhuria harusi ya Classmate wangu wa chuo, huyu dada akiwa chuoni ile miaka 4 binafsi najua alikuwa na mahusiano na wanaume 5
- Mwaka wa nne; akawa analiwa na supervisor wa Dissertation
Harusi ameolewa na jamaa mwingine kabisa waliyekutana naye kwenye masuala ya kazi.
- Tulipofika tu mwaka wa kwanza alipata jamaa wa 3rd year
- Mwaka wa pili akapata jamaa mmoja ambaye alikuwa staff pale chuoni
- Mwaka huo huo wa pili kuna jamaa wa Class naye alikuwa anajipigia vizuri tu
- Mwaka wa nne; akawa analiwa na supervisor wa Dissertation
Harusi ameolewa na jamaa mwingine kabisa waliyekutana naye kwenye masuala ya kazi.